Inauma? nini inauma? Mnakaa kama maboga mnasema inauma? Na itawawauma kwelikweli japo haina meno. Mmezidi undondocha enyi watanzania. Nafuu ya pundamilia kule manyara wanapigania haki zao kuliko watanzania. Mpaka mtakapojua umuhimu wa kuwafurumusha Kikwete Pinda na genge lao, hata kwa mawe ikipidi, mtaendelea kukiona kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoNdugu yangu hii ndiyo Tanzania.
Kulindana kila sehemu kwani hapa aliyeua ni Polisi na anayekwenda kumkamata mhalifu ni Polisi. Hapa haki haiwezi kupatikana.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Inauma? nini inauma? Mnakaa kama maboga mnasema inauma? Na itawawauma kwelikweli japo haina meno. Mmezidi undondocha enyi watanzania. Nafuu ya pundamilia kule manyara wanapigania haki zao kuliko watanzania. Mpaka mtakapojua umuhimu wa kuwafurumusha Kikwete Pinda na genge lao, hata kwa mawe ikipidi, mtaendelea kukiona kilichomnyoa kanga manyoya ya shingo
Na kweli,watanzania wamezidi ukunguruu,acha wakomeshweInauma? nini inauma? Mnakaa kama maboga mnasema inauma? Na itawawauma kwelikweli japo haina meno. Mmezidi undondocha enyi watanzania. Nafuu ya pundamilia kule manyara wanapigania haki zao kuliko watanzania. Mpaka mtakapojua umuhimu wa kuwafurumusha Kikwete Pinda na genge lao, hata kwa mawe ikipidi, mtaendelea kukiona kilichomnyoa kanga manyoya ya shingo
Hilo halipo mkuu wangu! Pengine hujui miundo ya majeshi yetu! Uasi unaweza kutokea lakini utazua vita tu na hiyo itashirikisha majeshi yote kwa mfumo tulionao!mimi huwa nawaambia, siku JWtz,watakapochukua nchi hii,Polisi wote watavaa kanga mitaani,na itakuwa kiama kwao, maana wanajifanya miungu watu,wanaua raia kama kuku,
Wewe ndio unakurupuka au ni mhusika a.k.a muuaji? Unataka niwataje majina kisha uniambie wako wapi? Ila nimesikia tetesi wapo 2 waliorudi wakanaswa wapo ndani lock up. Nimeambiwa mke wa mmojawapo waliotoroka wote yupo Kasulu tena mjamzito, bado sijajua ukweli wa hili ila nitarudi hapa na taarifa kamiliAchen kukurupuka hakuna m2 alotoroka
Hawa askari kweli wametoroka. Nilikuwa bar ya hawa maaskari inaitwa mkoromboko.wametoroka awapo na haijulikani wameenda wapi. Ninaowajua ni musa,shamsi, bonge. Mauaji haya ni kweli yanahusu raia wa rungwe.haijajulikana siri ilivuja vp had wakasepa.
Umenena mkuu, japo kuna mmoja alisema nimekurupuka hawa jamaa hawajatoroka. Nikufahamishe kidogo hiyo baa imeshauzwa na mmiliki sasa hivi ni askari polisi wa hapa kigoma mjini ila nadhani kuna watakaokuwa wanamsaidia kusimamia huko Ksl.Hawa askari kweli wametoroka. Nilikuwa bar ya hawa maaskari inaitwa mkoromboko.wametoroka awapo na haijulikani wameenda wapi. Ninaowajua ni musa,shamsi, bonge. Mauaji haya ni kweli yanahusu raia wa rungwe.haijajulikana siri ilivuja vp had wakasepa.
Ulisema tunakurupuka sasa hapa mkurupakaji atajulikana ni nani, Hizi ni updates nzuri sana na zimenifurahisha japo kidogo. Soma kwa makini hapa chini nilivyokurupuka tenaAchen kukurupuka hakuna m2 alotoroka
Mkuu hapo umenena, ukiwa mwana JF huwezi kukurupuka, unajipanga hasa ndio unaingia. Kwa kuwa alitumwa hajarudi hadi sasa au unawezekana ni mmoja wa walinaswa na hapa bangwe hawapewi muda wa kuzurura nje kama walivyokuwa kule kasulu. Narudi KGM next wk nitakuwa mahakamani kila siku, Dar washkaji wanafurahi sana jamaa wamenaswaMkuu hujakurupuka nadhani huyo bwana alikuwa na,lake japo.Alikuwa kamtumwa lakini ajue wazi watu wanayajua mambo zaidi anavyodhani.
xo mbona unakurupuka na unaongea habri ambzo hazna kichwa wala miguu achen majungu...'we co msemaj we 2lia maneno maneno by queen drneWewe ndio unakurupuka au ni mhusika a.k.a muuaji? Unataka niwataje majina kisha uniambie wako wapi? Ila nimesikia tetesi wapo 2 waliorudi wakanaswa wapo ndani lock up. Nimeambiwa mke wa mmojawapo waliotoroka wote yupo Kasulu tena mjamzito, bado sijajua ukweli wa hili ila nitarudi hapa na taarifa kamili
Ulisema tunakurupuka sasa hapa mkurupakaji atajulikana ni nani, Hizi ni updates nzuri sana na zimenifurahisha japo kidogo. Soma kwa makini hapa chini nilivyokurupuka tena
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma SSP Kihenya Kihenya amesema sambamba na hayo askari polisi saba wameweza kufikishwa mahakama ya hakimu mkaazi wa kigoma wakikabiliwa na mashitaka mauaji. maelezo ya matukio hayo ni kama ifuatavyo-
Na. Pardon Mbwate na Felister Elias wa Jeshi la Polisi Kigoma
Kamanda huyo amesema Askari wame kufikishwa mahakamani kwa tuhuma ya mauaji tarehe 16/03/2012 Askari saba wa Wilaya ya Kasulu walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa kigoma wakikabiliwa na tuhuma za mauaji.Askari hao wanatuhumiwa Kusababisha kifo cha Festo Stephano Sekaino mkazi wa Kijiji cha runwempya Wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma ,tukio ambalo linalodaiwa kutokea mnamo tarehe 06/08/2011. askari waliofikishwa mahakamani ni: Baraka Hongoli mkaguzi, D 9200 cpl Mawazo Mohamed, F.8252 d/cpl Swahibu Kalaghe, E.9409 pc Charles Weleka, F5276 d/c Shamsi Lunguno, G. 1659 pc Jerry Dawson, G, 2699 pc Amrani Rajabu. pia kuna askari wawili ambao ni F.6677 d/c Musa Wilfred na G.2663 d/c Adili Mshana. hawajapatikana na juhudi za kuwatafuta zinaendelea.
Hawa wawili hawakurudi kabisa, hao walionaswa walidanganywa mambo yameisha wakajileta kama serikali ni yao wakanaswa, Gooooooooooooood!!!!!!!!
Mkuu hujakurupuka nadhani huyo bwana alikuwa na,lake japo.Alikuwa kamtumwa lakini ajue wazi watu wanayajua mambo zaidi anavyodhani.