Nimepata taarifa kuwa polisi wameua kijana mmoja wa sirari anayeitwa Tandika Ryoba Moserega inasemekana walimkamata kijana akiwa hai wakamrudisha akiwa amefariki wananchi wamechachamaa wanachoma matairi.
cc, chaminglady
cc, chaminglady
Last edited by a moderator: