Single D JF-Expert Member Feb 27, 2007 457 14 Nov 1, 2010 #1 Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni
Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni
Sokomoko JF-Expert Member Mar 29, 2008 1,915 127 Nov 1, 2010 #2 Single D said: Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni Click to expand... Hizo ni habari za kweli mkuu hali ni tete sana maeneo ya tandika mwisho......
Single D said: Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni Click to expand... Hizo ni habari za kweli mkuu hali ni tete sana maeneo ya tandika mwisho......
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Nov 1, 2010 #3 Tandika tena!siwezi shangaaaaaaaaaaaaaaa