polisi watumia mabomu kutawanya watu Tandika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

polisi watumia mabomu kutawanya watu Tandika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Single D, Nov 1, 2010.

 1. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizo ni habari za kweli mkuu hali ni tete sana maeneo ya tandika mwisho......
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tandika tena!siwezi shangaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. Abdallah M. Nassor

  Abdallah M. Nassor Verified User

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 592
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 180
  wameanza kumwaga damu
   
Loading...