Elections 2010 polisi watumia mabomu kutawanya watu Tandika

Single D

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
457
14
Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni
 
Nimepata taarifa njia hazipitiki tandika sokoni.Polisi wanatumia mabomu kutawanya raia wanaosubiri matokeo kutangazwa rasmi.Walioko huko tupeni

Hizo ni habari za kweli mkuu hali ni tete sana maeneo ya tandika mwisho......
 
Back
Top Bottom