Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,731
74,736
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!


Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
 
Huwa sielewi motive inayokuja baada ya maandamano.

Yaani unazunguuuka mitaani unapiga keleleee huku umebeba bango halafu unamaliza unarudi nyumbani kwako kulala.

Ni kama mtu apite mitaani awe anasema sina helaaa sina helaaa halafu arudi nyumbani kwake akalale bila kufanya juhudi ya kuitafuta hela.(kama nitamkwaza mtu samahani)

Siasa na mpira ni vitu vya kijinga sana. Mtu unakaa unaangalia watu wanakimbiza kitufe muda woote na kitufe kikiingia golini upande mtu anaoushangilia eti anakosa amani, unakuta mwingine mpaka anakufa. Yaani kitufe kupita katikati ya Milingoti miwili wewe unaathirika emotionally are you SIIIIIIRIIIIIAZ
 
"Ukikua" utaelewa
 
Polisi wanaandamana sababu ya Kikokotoo.
 
Matembezi ya mshikamano yakiongozwa na jeshi makini na imara la polisi
 
Kaka acha basiiiii 😂😂🤣🤣🤣

Kutembea-tembea barabarani ni part ya mazoezi
 
Kwa maana hiyo Samia apewe sifa zake kwa kukuza demokrasia
Do not be short-sighted, demokrasia haikuzwi kwa one aspect of maandamano...........naishia hapo


What are the Key Features of Democracy? (from google)​


Democracy is the most successful political idea in the world.
Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised through elected representatives.
The concept of democracy is broad and diverse. Every country has a unique democratic system, and countries will therefore be ‘differently democratic’.
Democracy has many features: What then are the key features of democracy?
Although there are other aspects to democracy, we look at six key features. When these six main features are present it indicates a strong democracy.
They are:
1) Respect for basic human rights,
2) A multi-party political system paired with political tolerance,
3) A democratic voting system,
4) Respect for the rule of law,
5) Democratic governance, and
6) Citizen participation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…