PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,442
Reaction score
2,217
Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD

Sasa hivi, LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza, basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sana.

Sasa ameshuka umma unamfuata na polisi pia wapo.

Mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sana.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
 
Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Duh! figisu zimeanza
 
Lema ka tweet hapa
 
Attachments

  • IMG_7295.jpeg
    IMG_7295.jpeg
    212.3 KB · Views: 26
BREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.

Mapolisi wamemuvamia na kulazimisha kumkamata na wamepiga mabomu ya machozi kutawanya watu Ili wamkwmate na wamemkamata hawajasema sababu za kumkamata
 
Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Hotuba nzito ndio ikoje?
 
Sababu za kumkamata ataelezwa kituo cha polisi
 
Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Kwa nini wasimuache aongee baadaye achoke?Halafu sie CCM tuendelee kupiga kazi!.
 
BREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.

Mapolisi wamemuvamia na kulazimisha kumkamata na wamepiga mabomu ya machozi kutawanya watu Ili wamkwmate na wamemkamata hawajasema sababu za kumkamata
Fu£% them. Yataisha
 
CCM wametepeta..walijua ni mziki wa kitoto. Yaani sasa hivi hadi Kingai lazima aingie mzigoni kuja kula mishikaki na koka dadeq.
 
Mh LISSU amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa mbinga Leo ,akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi ,wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi,Mh LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza,basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sanaaaaa,Sasa ameshuka umma unamfuata na mapolisi pia Yapo ,mitambo imekata hatujui huenda wakatumia nguvu kumkamata hapo Mbinga maana katoa hotuba nzito sanaaaaa.

Polisi sasa wamepiga mabomu na wanataka kumkamata Lissu.
Hakuna kama mpanzu nchi hii
 
Back
Top Bottom