Nick bilauri
Member
- May 19, 2015
- 38
- 1
simbilisi wewe
Hahahahaaaa!
simbilisi wewe
simbilisi wewe
Kuna ukweli gani kuhusu habari hii?? Hata kama ni kweli mimi sioni kama kuna ubaya Polisi kuongezewa mshahara. Swala la kuongeza mshahara ni uamuzi wa Serikali na sio uamuzi wa chama. Tujiulize swali moja la msingi tu, je, kuna muda maalumu wa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kisheria??? Je, kama kuna muda maalumu, serikali imevunja sheria kuongeza mishahara ya polisi kipindi hichi???
haha ha kampeni hiyo kwa ajili ya uchaguzi mkuu
halafu wewe ni mngese kabisaa mwalimu yupi alipandishiwa mshahara wa 100000? kama hujui bora unyamaze tu kuliko kupotosha watu mpuuzi wewe..
SIO KWELI mtoa mada anataka kuupotosha uma na tukiwasikiliza na kuwaamini watu kama hawa watatuharibia Tanzania yetu. UKWELI NI KEAMBA POLISI WAMEPOKEA MSHAHARA TAREHE 21/9/2015 NA SIO JANA. NA MSHAHARA ULIKUA NI KIMA KILEKILE WALICHOANZA KUPOKEA TANGU MWEZI WA 7 ILIPOANZA KUTUMIKA BAJETI MPYA. MWEZI HUU HAIJAONGEZEKA HATA 200.
Jana polisi wote wa tanzania walipokea mshahara wa nyongeza ya sh. 300000 kwa mwezi kama mshahara wao. Hii inamaana ya kwamba kama polisi alikuwa anapokea laki 4 basi jana kapokea laki 7 katika mshahara wake.
Sijui tafsiri ya kupandisha mshahara huu kwa spidi ya hali ya juu lkn nataka kupata ufumbuzi wenu wadau.
chanzo: polisi yoyote
swali linakuja: WATALIPA KWA KASMA IPI MAANA BUDGET HAIKUPITISHA NYONGEZA HIYO. PILI SHERIA YA UCHAGUZI INASEMAJE Kuhusu rushwa hii kwa wafanyakazi mkuu ww mgeni na serikali hii?mbona kwenye fungu la raisi la nje liliongezwa bila kasma?nani alihoji?
swali linakuja: WATALIPA KWA KASMA IPI MAANA BUDGET HAIKUPITISHA NYONGEZA HIYO. PILI SHERIA YA UCHAGUZI INASEMAJE Kuhusu rushwa hii kwa wafanyakazi wa serikali?
shost, kumbe wewe ni ndata, nimewakumbuka mandata by The Police!.Jana polisi wote wa tanzania walipokea mshahara wa nyongeza ya sh. 300000 kwa mwezi kama mshahara wao. Hii inamaana ya kwamba kama polisi alikuwa anapokea laki 4 basi jana kapokea laki 7 katika mshahara wake.
Sijui tafsiri ya kupandisha mshahara huu kwa spidi ya hali ya juu lkn nataka kupata ufumbuzi wenu wadau.
chanzo: polisi yoyote