General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Jana polisi wote wa tanzania walipokea mshahara wa nyongeza ya sh. 300000 kwa mwezi kama mshahara wao. Hii inamaana ya kwamba kama polisi alikuwa anapokea laki 4 basi jana kapokea laki 7 katika mshahara wake.
Sijui tafsiri ya kupandisha mshahara huu kwa spidi ya hali ya juu lkn nataka kupata ufumbuzi wenu wadau.
chanzo: polisi yoyote
Sijui tafsiri ya kupandisha mshahara huu kwa spidi ya hali ya juu lkn nataka kupata ufumbuzi wenu wadau.
chanzo: polisi yoyote