montana zayumba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2014
- 225
- 31
Walimu wakuu, waratibu na wakuu wa idara waliongezewa TSH. 250,000/=@1 watumishi wengine ni 13% mi sielewi inamaanisha nn? OK Tukutane OCT 25
tukutaneeee yani ration tu 300000Walimu wakuu, waratibu na wakuu wa idara waliongezewa TSH. 250,000/=@1 watumishi wengine ni 13% mi sielewi inamaanisha nn? OK Tukutane OCT 25
We mpayukaj mkuu..acha kuropoka ulza uambiwe xio kuropoka kenge we
ewe polisi muadilifu rudisha haraka hiyo hela isiyojulikana malengo yake .
halafu wewe ni mngese kabisaa mwalimu yupi alipandishiwa mshahara wa 100000? kama hujui bora unyamaze tu kuliko kupotosha watu mpuuzi wewe..
Malengo! Unauliza malengo wakati unaelewa kuna kula vizuri ukapata nguvu za kukabiliana na ukawa wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo.Utatoa kipondo kama huna shibe? Nao sio wajinga watakuwa wameitoa kama bonus na sio ongezeko la mshahara.
Polisi hawana siri hata kidogo!ndio maana munauawa hovyo nyie sungura matope!mbona JWTZ,TRA,TANAPA wakiongezewa mshahara au posho hatusikii mitandaoni wala hatujui tu!?
Polisi wa Tanzania muna nini?
Mkuu Hawa Siku hizi hata wake zao ni mizigo
Hizo ni rushwa za wazi na TAKUKURU ipo inaangalia..
Mbona hawatulipi na sisi wakandarasi Toka 2013 tunawadai na mradi wao tumeshawakabidhi au kwavile sisi wanyonge?tutaonyesha nguvu yetu tarehe 25 oktoba
ewe polisi muadilifu rudisha haraka hiyo hela isiyojulikana malengo yake .
Bro acha kelele angalia account yako
Yaani wanatia aibu sana polisi wa tanzania
halafu wewe ni mngese kabisaa mwalimu yupi alipandishiwa mshahara wa 100000? kama hujui bora unyamaze tu kuliko kupotosha watu mpuuzi wewe..
simbilisi wewe
Jamani walimu msameheni huyu jamaa (jokes), inaelekea humu hakuna polisi maana hakuna mtu aliemshukia mleta uzi zaidi ya hawa jamaa walipogusa issue ya waalimu, natania ila itakuwa serikali ya ajabu kupandisha mshahara bila kutoa waraka wowote unless kama yalikuwa ni malimbikizoWe mpayukaj mkuu..acha kuropoka ulza uambiwe xio kuropoka kenge we