Polisi wanaratibu usafirishaji haramu wa binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wanaratibu usafirishaji haramu wa binadamu

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by RUBERTS, Jul 2, 2012.

 1. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jeshi la Polisi nchini ndilo linahusika na kuratibu usafirishaji haramu wa Wasomari na Waethopia nchini kupitia maeneo mbalimbali ya nchi yetu, licha ya Rais Kikwete juzi kuwamwagia sifa kuwa wanashughulika sana kukabiliana na uhalifu huo.

  Ushahidi ninao.
  Katika maeneo yote ya bahari kuanzia Feri Kigamboni hadi Kimbiji ambapo ni eneo la wilaya ya Kipolisi Kigamboni, kazi ya kuingiza wahamiaji haramu inaratibiwa na mtu mmoja yuko Kigamboni anaitwa Maafudhi/Maabubu.

  Mtu huyu anashirikiana kwa karibu sana na Mkuu wa Kituo cha Polisi Kigamboni anayeitwa Mlasani. Wasomali wanaingilia maeneo ya ufukwe wa Kigamboni kuanzia Minazi Mikinda hadi Kimbiji.

  Wasomali hawa wanaletwa na maboti hadi ufukweni na polisi kwa macho yetu tunaona wanawasindikiza kuwaingiza kwenye maroli yanayokuwa yameegeshwa barabarani yakisubiria.

  Magari aina ya Canter au Fuso yakiwa yamefunikwa maturubai huwa yanatumika sana. Kama serikali inataka kujua ukweli wa jambo hili ifuatilie kwa wananchi na viongozi wa vijiji wa maeneo ya ufukwe wa Kigamboni.

  Polisi wakibisha nitamwaga mambo zaidi hapa.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  RUBERTS,

  Huna haja ya kusubiri wabishe, kama una ushahidi zaidi uweke wazi, haina kuzungusha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii nchi kuna mambo ya ajabu sana.Viongozi wetu ndo wasaliti wa kwanza.Mungu tunusuru.
   
 4. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwaga mwaga zaidi, usisubiri wakakulimboka hawa watu. Weka ushahidi wote ambao unao mapema.
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye hihlight, unamaanisha serikali gani kwani hao polisi unaowatuhumu ni sehemu ya serikali hiyo
   
 6. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Polisi lazima watabisha tu. Weka vitu hapa fasta.
   
 7. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi vilevile!!
  Hatuwezi kusongambele na haya magamba!!
   
 8. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,168
  Likes Received: 3,376
  Trophy Points: 280
  Duh! I didn't know this.
   
 9. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Tafadhali kama kweli unao ushahidi tupatie ili tulishughulikie suala hili, hatuwezi kufanikiwa bila ushirikiano kutoka kwa kila raia wa nchi hii. Mimi ni mdau muhimu katika kupambana na tatizo la wahamiaji haramu
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kanyimwa za Jumamosi huyo.
   
 11. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  weka nawe ushahidi ... Kanyimwa nini hizo za Jumamosi... usiwe kama mwehu.. Mdomo mrefu kama masikio ya Sungura...

  Mtoa Hoja Huwa anashuhudia na anawajua lakini atapeleka wapi huu ushahidi wakati watuhumiwa ni Polisi anaweza potezwa... So alichojaribu ni kuweka humu mwenye Macho aone hata Huyo Raisi huwa anasoma au kusomewa so akishaona hmu kama hana udhaifu basi atalifanyia kazi kwa Kuwatuma Jeshi la wananchi wawakamate wahusika na watuhumiwa...

  Some times Changia mada wacha utoto
   
 12. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  tafadhali mwenye ushahidi anitumie na milango iko wazi kwa yeyote kupata mrejesho wa taarifa atakazotoa, where you hav bad guyz, there r good guyz as well.
   
 13. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nabisha.
  Mwaga!
   
 14. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huna jipya,
  Kama unaogopa m-PM mtu amwage! Otherwise ni mambo tunayoyajua kila siku.
   
 15. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Vipi Tena Mbona Ushahidi hauji... au Mdau keshapotezwa mabwepande?
   
 16. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Kigamboni ndio Ruvu ulimaanisha au?
   
Loading...