Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,730
- 218,292
Mbona hii ni laana?Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda...
Tumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotoshaTaarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda .
Weka ushahidiTumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotosha
USSR
Mimi na wenzangu tuliwahi kuvamiwa na majambazi hotelini, polisi waliitwa. Siku ya 2 majambazi walikamatwa na vitu vyetu vyote.Tumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotosha
USSR
Policcm ni majambazi wanaovaa uniform.Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda...
CCM ilishajifiaTaarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda...
Kuna simu yangu iliporwa na Polis mwaka 2013 iPhone 4 wakati huo ziliuzwa laki sita bahati nzuri sikutoa password, lakini waliuza kama screpa aiseeMimi na wenzangu tuliwahi kuvamiwa na majambazi hotelini, polisi waliitwa. Siku ya 2 majambazi walikamatwa na vitu vyetu vyote. Tuliitwa kuvitambua vitu vyote, isipokuwa fedha. Mimi niliitambua simu yangu. Nilifuatilia hiyo simu, mwanzoni niliambiwa ni kielelezo, nitapewa baadaye. Baadaye nikaambiwa haionekani. Ikawa ndiyo mwisho.
Wewe ni mmoja wa waliochukua hizo simu, vinginevyo mbona case haljapelekwa mahakamani? Maombi ya watu wa aina yako ni CCM kuendelea kutawala.Tumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotosha
USSR
walivyo na njaa ndio nitolee hiyo.Tumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotosha
USSR
😅😅Kuna simu yangu iliporwa na Polis mwaka 2013 iPhone 4 wakati huo ziliuzwa laki sita bahati nzuri sikutoa password, lakini waliuza kama screpa aisee
ndio hawa hawa hizi ID zimeficha mengiWewe ni mmoja wa waliochukua hizo simu, vinginevyo mbona case haljapelekwa mahakamani? Maombi ya watu wa aina yako ni CCM kuendelea kutawala.
Tanzania hakuna Jeshi la Polisi, waliopo ni MAJAMBAZI wenye vibali maalum toka kwa CCM.
Haya mambo ndiyo yanaleta aibu kubwa.Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda...
Hiyo gari ilibeba vilipuzi?Tumia akili kuandika wamezichukua kwa uchunguzi kila aliwahi kukamatwa na polisi anajua hili ,acha kupotosha
USSR
Hiyo gari ilibeba vilipuzi?
Tunajitukanisha sana tukiendelea kutetea huu mwenendo wa jeshi la polisi kufanya unyama kwa kigezo cha kisiasa
Jazia stake chiefHivi nini kazi ya mifuko mikubwa miguuni mwa suruali yake? Ni kutunza risasi? Hapana. Sasa nini kama si kutunza pesa na simu wanazokwapua