Polisi wamuogope Mungu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,420
13,934
Sasa hivi wako bize kukamata daw za kulevya utadhani kuwa kulikuwa kuna mtu alikuwa amewakataza kuzikamata .

Tuwaombe waseme ukweli ni kwanini wanasubiri Makonda na Rais awaambie kamata wakati sheria ilikuwa ikiwaruhusu kuzitafuta na kuwakamata wauza na watumiaji madawa?

Ni kwanini makamanda wasihojiwwe na kuchukuliwa hatua kwa kosa hilo la kusubiri waambiwe na wanasiasa kuzuia uhalifu mbalimbali kama vile dawa sa kulevya na wizi wa kazi za wasanii hadi waziri au rais aseme kamata pikipiki na kuzing'oa tyre? pombe sasa hivi zinauzwa kwenye maduka ya kawaida mitaani lakini wanasubiri Makonda aseme ondoa pombe kwenye maduka yanayouza nafaka. Ni kwanini wasijiuzuru wenyewe au kuondolewa kwenye nafasi zao kama kazi ni ngumu?
 
Hapa bongo hakunaga polisi, ni genge la swaga lisilo na hofu ya Mungu, kundi la fisi kuvizia mizoga. Wanafanyia kazi hoja zisizo na mashiko kwa jamii, na wao ndo walezi wakuu wa uhalifu.
 
Back
Top Bottom