Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,904
- 156,008
Natoa rai kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania limuhoji kijana anayetaka atolewe kafara yeye na watu wengine watano ili Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.
Huyu mwana Yanga ni binadamu, anaweza akafa kifo halisi kabisa kwa ajali, au kuugua au namna yoyote ile, na kifo chake kikahusishwa kwa namna moja au nyingine na kafara na hivyo kuchafua image ya Yanga.
Pia Yanga wamkemee nanwakanushe hadharani kwamba wao hawatoi makafara ya watu na wala hawahitaji kufanya hivyo.