Polisi wamuhoji mwana Yanga anayetaka Club yake imtoe kafara yeye na wenzake watano

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Natoa rai kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania limuhoji kijana anayetaka atolewe kafara yeye na watu wengine watano ili Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.

Huyu mwana Yanga ni binadamu, anaweza akafa kifo halisi kabisa kwa ajali, au kuugua au namna yoyote ile, na kifo chake kikahusishwa kwa namna moja au nyingine na kafara na hivyo kuchafua image ya Yanga.

Pia Yanga wamkemee nanwakanushe hadharani kwamba wao hawatoi makafara ya watu na wala hawahitaji kufanya hivyo.

Natoa rai kwa jeshi la Polisi nchini Tanzania limuhoji kijana anayetaka atolewe kafara yeye na watu wengine watano ili Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa...
Siyo achunguzwe akili zake kama ni tamim?Maana mara ya mwisho hapa kijijini kwetu mwenyekiti alituambia wenye akili pale Yanga ni haooo ✌️.

Wasije kumuonea bure kumbe alipaswa apelekwe picnic "Milembe Resorts"!😂😂😂😂
 
Yanga kama taasisi wanasemaje?
Siyo achunguzwe akili zake kama ni tamim?Maana mara ya mwisho hapa kijijini kwetu mwenyekiti alituambia wenye akili pale Yanga ni haooo ✌️.Wasije kumuonea bure kumbe alipaswa apelekwe picnic "Milembe Resorts"!😂😂😂😂
Ni kweli huwa wanatoa makafara ya watu ili washinde?
 
Natoa rai kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania limuhoji kijana anayetaka atolewe kafara yeye na watu wengine watano ili Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.

Huyu mwana Yanga ni binadamu, anaweza akafa kifo halisi kabisa kwa ajali, au kuugua au namna yoyote ile, na kifo chake kikahusishwa kwa namna moja au nyingine na kafara na hivyo kuchafua image ya Yanga.

Pia Yanga wamkemee nanwakanushe hadharani kwamba wao hawatoi makafara ya watu na wala hawahitaji kufanya hivyo.

View attachment 2406391
Strong
 
Siyo achunguzwe akili zake kama ni tamim?Maana mara ya mwisho hapa kijijini kwetu mwenyekiti alituambia wenye akili pale Yanga ni haooo .Wasije kumuonea bure kumbe alipaswa apelekwe picnic "Milembe Resorts"!
Tamim

Timamu

Kwani imeandikwa wapi ni dhambi Makolo mmoja akijitoa ufahamu kuwa ye ni shabiki wa Yanga FC kindakindaki ilimradi tu akejeli Wananchi
 
kuna mtu alisema Yanga wote ukimuondoa Baba yake na JK, linapofika suala la Yanga ni kama vichaa tu.
 
Natoa rai kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania limuhoji kijana anayetaka atolewe kafara yeye na watu wengine watano ili Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa...
Halafu njemba inatoa na machozi kabisa, shubmit zake!

Wapumbafu kama hawa huweza kuweka rehani hata wake zao!
 
Back
Top Bottom