Polisi wamsaka mbunge CHADEMA kwa kufunga ofisi

Polisi wamsaka mbunge CHADEMA kwa kufunga ofisi

Wameshindwa kuwanasa waliotesa ulimboka wanahngaika nini na mbunge?
 
Mkutano mkuu wenye saini 60+ unang'oa uongozi na kuteua uongozi wa muda Mkurugenzi anapelekewa barua na saini za wananchi 60+ walio ung'oa uongozi huo.
Elezea hiyo inahusianaje na kufunga ofisi?
 
mkopo wa TIB MHE NAGU HAHUSIKI NI UONGOZI ZA SACCOS HUSIKA NDIO WALOFANYA TARATIBU ZOTE PIA BEI ZA KILIMO HAIKUSHUKA BADO HALI NI TETE NA UCHUMI HAKUNA KABISA
 
Back
Top Bottom