CHADEMA tumieni busara
msije chafua amani ya nchi!
Hata hivyo, alisema uamuzi
wa kufungwa ofisi hiyo,
yalitolewa kwenye mkutano
wa mkuu wa kijiji,kutokana na
kupinga unyanyasaji wa
viongozi wa kijiji, kutosoma mapato na matumizi tangu
mwaka 2007 na pia kuwataka
wafike Basotu viongozi wa
wilaya. Wananchi 365 walioshiriki
mkutano mkuu huo wa kijiji,
licha ya kufunga ofisi hiyo pia
walichagua vijana waliopitia
mafunzo ya mgambo kulinda
ofisi hizo hadi muafaka utakapopatikana.
Hii sheria haina uhusiano wowote na kufunga ofisi. Huwezi kufunga ofisi ya serikali, bali unaweza kuondoa uongozi ngazi ya mtaa/kijiji kwa kura na siyo mabavu.Mkuu pitia moja wapo ni kwamba afisa mtendaji anapaswa kubandika mapato na matumizi ubaoni kila mwezi akishindwa kufanya hivyo kwa miezi 3 mfululizo wananchi wanayo haki ya kuitisha mkutano mkuu na kupata saini 60+ za wananchi na kuung'oa uongozi
Hii sheria haina uhusiano wowote na kufunga ofisi. Huwezi kufunga ofisi ya serikali, bali unaweza kuondoa uongozi ngazi ya mtaa/kijiji kwa kura na siyo mabavu..
Uongozi kuondolewa kuna procedures zake, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kufunga ofisi, au hata kundi la watu.Kama uongozi umeuondoa kwa mtizamo wako ofisi utaiacha wazi ili hao jamaa waje waibe ushahidi?
Uongozi kuondolewa kuna procedures zake, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kufunga ofisi, au hata kundi la watu.
Mbunge hahusiki na execution at all!!, hata siku moja. Hilo ndilo kosa wafanyalo wabunge vilaza ... akajibu tuhuma polisi, ionekane kama atafunguliwa mashtaka ama la, aende polisi asitake kudharau vyombo vya dola... huo ni ukosefu wa hekima (sijasema heshima).
Msitake kusingizia sheria hapa!~!!