Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...

Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...

Kwa uelewa wangu mdogo waandishi wa magazeti ndio waliweka picha na sio huyu mhusika au laa alijiprintia gazeti lake.
 
Mwacheni kijana, kwani hao waliopigwa picha walibakwa au walihiari.?

Hao wanawake nao watiwe pingu. Kwa kuwa hwakulazimishwa nao washughulikiwe kama inavyostahili kwa utovu wa maadili. Aisee! Hii nchi imekwisha. Kila uchao kuna kituko kipya. Hata Sodoma na Gomora haikufikia kiwango hiki.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
amevunja sheria gani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania? nauliza tu !

Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania
Sheria Namba 3 ya Mwaka 1995
Kifungu cha 175
Kipengele ( a ) mpaka ( e )

--------------------------

Hajavunja, ameshutumiwa, kuvunja.

Akipatikana na hatia amkumbushe hakimu kwamba alishaanza kutumikia adhabu yake, na labda amemaliza, pale Jeshi la Polisi lilipomhukumu hapo hapo alipokamatiwa kuruka kichura chura.


akiwa chini ya ulinzi wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
 
Naona kama uongo, hajakamatwa. Hiyo gari aliyopakizwa ndani yake ni ile iliyoonekana kwenye picha zake ikisemekana ni yake. Ni kama muendelezo wa cheap popularity. Taarifa ya polisi iko wapi?
 
Jamani hivi kula papuchi siku hizi ni jinai mbele ya jamhuri?
hakika hata sisi wazee wa kuzengea " :A S kiss😛opo :A S kiss:" hatuko salama na mkono wa dora 😛ainkiller:
 
kwani hao wasichana aliwalazimisha? kwani walikuwa watoto? si wanataka umaarufu ndio huo sasa
 
Yaani polisi wetu badala ya kupambana na akina kinana wanaomaliza tembo wetu wanapambana na hawa washamba
 
Amelitukanisha Taifa kwa kuweka Akina Dada zetu Picha za uchi wa nyama katika Mitandaa na Magazeti ya Jamii. Amelivunjia Taifa la Tanzania Heshima yake sio mambo ya Kistaarabu kuweka bayana picha za uchi kwenye Magazeti na Mitandao ya Jamii afungwe japo mwaka mmoja akitoka awe na heshima. Hata kama anapenda kufanya Sex na wanawake lakini awe na heshima kuliko dharau kwa sababu ya pesa zake .Mkuu YouTube

Na hao aliopiga nao wakamatwe. Tatizo kuna mabinti wanapenda maisha ya juu kuliko vyanzo halali vya mapato yao.
Matokeo yake ni kudhalilishwa tu!
 
kwa picha nilizo ziona mwanzo, huyu ni msanii wa papuchi za mamiss na wadada maarufu mitaani kwao na kwenye magazeti ya shigongo

teh ivi izi picha za papuchi zikiwekwa kwenye blog na media nyingine mhusika analipwa au anapata nn?
Naona inaweza ikawa bussiness watu tuchukue fursa
 
Naona kama uongo, hajakamatwa. Hiyo gari aliyopakizwa ndani yake ni ile iliyoonekana kwenye picha zake ikisemekana ni yake. Ni kama muendelezo wa cheap popularity. Taarifa ya polisi iko wapi?


..Asante kwa kuliona hili. Nilikuwa nasubiri kuona kama kuna mwanaMkeka mwenzangu amelishitukia hili. hata hizo Picha kukamatwa kwake pia zina Walakini. Angalia jinsi 'Askari Kanzu' anavyojitahidi kutudhibitishia 'Ukweli' wa tukio kwa Kuitanguliza mbele radio Call yake kwenye Kila Picha!!
Nilidhani gazeti lilipaswa pia kutupa taarifa rasmi ya Polisi kuhusu tukio hili.
Kama haipo Kijana anatakiwa kutiwa ndani kwa kusingizia Polisi jambo ambalo si Kweli!
Naona huu Utafutaji Cheap Popurality sasa unapindukia na kuwa kama Ukichaa fulani Hivi!


 
Sijui sheria husika but Sidhan kama kunakes ya mcngi isipokua mabinti husika wajitokez kutoa malalamiko coz yawezkana wali consent....but al in al kama kweli kijana alizitoa pcha maksud mtandaoni c mstaarabu na ni moja kati ya wale wachache wastahilio maana ya neno
washenzi.
 
Back
Top Bottom