Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...

Polisi wamkamata Manaiki baada ya kupiga picha 400 za uchi...

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,106
Reaction score
34,926


IMG_1014.JPG

Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali


Mwandishi wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
IMG_1018.JPG

IMG_1020.JPG




Habari za uhakika zilizonaswa zinasema kuwa msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.


 
amevunja sheria gani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania? nauliza tu !
Amelitukanisha Taifa kwa kuweka Akina Dada zetu Picha za uchi wa nyama katika Mitandaa na Magazeti ya Jamii. Amelivunjia Taifa la Tanzania Heshima yake sio mambo ya Kistaarabu kuweka bayana picha za uchi kwenye Magazeti na Mitandao ya Jamii afungwe japo mwaka mmoja akitoka awe na heshima. Hata kama anapenda kufanya Sex na wanawake lakini awe na heshima kuliko dharau kwa sababu ya pesa zake .Mkuu YouTube
 
Amelitukanisha Taifa kwa kuweka Akina Dada zetu Picha za uchi wa nyama katika Mitandaa na Magazeti ya Jamii. Amelivunjia Taifa la Tanzania Heshima yake sio mambo ya Kistaarabu kuweka bayana picha za uchi kwenye Magazeti na Mitandao ya Jamii afungwe japo mwaka mmoja akitoka awe na heshima. Hata kama anapenda kufanya Sex na wanawake lakini awe na heshima kuliko dharau kwa sababu ya pesa zake .Mkuu YouTube
Mkuu MziziMkavu,

Uchi unajulikana ulivyo, zile picha sijaona uchi hata mmoja. Ofcoz ni picha za faragha but sio za uchi.

Pili what if akisema zimevuja bahati mbaya? Kuna kesi ?

Wanamuonea tu huyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Polisi mfanyeni huyo dogo shamba darasa kwa wengine watakaothubutu kufanya ubazazi kama huo. Apigwe mvua kumi ili apate muda wa kutosha kupiga picha za uchi na wanaume wa gerezani.
 
Nchi hii kazi ipo
Yaani nguvu kazi ya Taifa inafanya machukizo
wakati kazi zipo kama kwenda kulima.

Hatari sana !!
 
Mwacheni kijana, kwani hao waliopigwa picha walibakwa au walihiari.?
 
.. Anautaka ustaa.. Ndo anaupata hivyo.

Kwa bongo Unaweza kuwa staa hata kwa kufanya maududu..

Sikuwahi kumsikia wala kumwona lakini kwahayo mapicha tu sasa kila mtu anamjua na ndicho alichokuwa anatafuta

Cheap cheap publicity

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
binadamu tuko tofauti sana yani wengine wanatafuta umaarufu kwa mambo ya heri na kujenga taifa wengine wanatafuta umaarufu au sifa kwa kufanya machukizo na aibu mbele ya jamii.
 
Ni vizuri achukuliwe hatua kali za ki sheria. Lakini pia mastaa wote waliofanya nae ngono wakamatwe wachukuliwe hatua za kisheria nao.
 
Afu wakinadada mnataka wenyewe kujizalilisha,sio vema jaman mjiheshimu!!
 
kiukweli huyu jaman fungukeni mtuambie ni msanii wa nini hapa tz sijawah kumwona au kumsikia!pia akaonje raha ya keko au segerea na kama mzee wake ana hela ni zake sikuwavua nguo wadada ingawa nao wamezidi ucheap sana wakomeshwe
 
Polisi wamemwonea kijana wa watu, raha ale yeye nyie mnaumia nini?
 
Back
Top Bottom