Ila hawa ndugu zetu wamezidi,,, services road imekuwa ndo ya kupangia biashara,,, mji unaonekana uko hovyo sababu ya hawa ndugu zetu,, yani mji haupitiki kwa miguu
Hata huko unapoona nchi zilizoendelea za ulaya hao wanaofanya biashara mitaani wapo hila wanapangwa wasibughudhi wengine sio kisingizio cha ajira mpk mzibe njia za watembea kwa miguu mtu inabidi apite barabarani kupishana na magari njia ya kutembelea imejengwa mabanda
Ushaenda masokoni kuulizia nafasi ukaambiwa hakuna?makumbusho watu wanapangwa ndani ya soko niliona mwenyewe wanapimiwa unaambiwa tu ukubwa wa meza ya kupanga inimladi usije na banda lako
ukifanikiwa kuvunja mabanda ya wamachinga yote. 75% wanafungua maduka. hao wachache waliobakia unaweza kuwapanga. weng wa wamachinga ni watu waliopata hela kilain ila wakakosa elim sahh ya hela. leo hii ni kawaida kumkuta machinga ana sim mpaka ya ml. 2.
Halafu Magufuli alikuwa anawaambia wazaliane tu.Ndo vijana wenyewe asilimia kubwa ndo machinga. Wawaondoe tu.Wataumia ila watazoea tu.Kila mtu huko mikoani anawaza kuja Dar kuwa machinga. Enough is enough. Hakuna kurudi nyuma,wawaondoe tu. Watembea kwa miguu kariakoo unatembea huku umebana pochi yako kisa mbanano. Vibanda mbele ya maduka uliona wapi ?Vibanda kwenye service road jamani 😭