Polisi wakamata basi la jeshi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wakamata basi la jeshi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Apr 14, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Hivi majuzu basi la jeshi lenyenamba za usajili 4253JW likiwa limebeba wanajeshi 85 likitokea kambi ya Lugalo kuelekea kambi ya mbagala. Kufika mwenge trafiki wa 2 walilisimamisha, baada ya kulikagua waligundua halifai kuwa barabarani (unroadworthy) pia disk ilikuwa muda wake umekwisha na abiria walikuwa 85 badala ya 64. Hivyo trafiki hao walitoa amri wanajeshi wote washuke na dereva aliendeshe basi hilo kuelekea Oster bay polisi, mpaka leo dereva huyo yumo rumande huku upelelezi ukiendelea.
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...ina maana huko nchi za nje kuna mji una majina ya vitongoji kama Tz? Tuambie ni nchi gani.
   
 3. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nchi za nje? Hapa hapa Tz, Kaulize polisi Oster bay.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Haki huinua taifa.....!!!
   
 5. J

  Jhung tiao Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakupa hizo info bra mbona hapo nikumkumbati nyuki duh
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh!!! kweli hili jukwaa la jokes
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bali dhambi ni ya taifa zima
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  No nooooo
   
 9. z

  zamo Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina mvuto jaribu tena
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  siyo nyuki pekee ni kukumbatia mzinga kabisa
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi uongo unaotaka kufanywa ukweli nao ni jock?
   
 12. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  umetuonyesha ni jinsi gani ulivyo na upeo finyu wa kufikiria. Kuna njia nyingi za kueleza matatizo ya nchi yetu, hapa nimetumia joke kueleza kwamba katika nchi hii kuna baadhi ya watu au vitengo fulani vya serikali vinaweza kuvunja sheria na wasichukuliwe hatua zozote za kisheria. Wake up!!
   
 13. driller

  driller JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahaaaa kweli hapo sio bongo labda kwa kweeerrri uniereze ni inchi ghanii iyo maana hapa sisi huwa hawatufanyii hayo bhaaanaaa hahaa ajaaaribuu tu aone makubwa ya urimwengu..
   
Loading...