TPDF ndio kila kitu bwashee hakuna asie jua hhilo hata darasa la kwanza!Kila askari ana umuhimu kwa nafasi yake
Suppose hayo wezi wanaofungwa jela wakiachiwa wote wajae mtaani?
Kuna majambazi na watu wengi hatari unawajua au waiachie jwtz ifanye kazi zote?
Watanzania uelewa wetu bado ni mdogo tukubali tu