Polisi waanza kuisoma namba ya Mh Rais!

Polisi waanza kuisoma namba ya Mh Rais!

Haibadilishi maana kwa kuwa wanatuonea sana hao polisi na magari yao ya washa washa.
Mtu hadi tunashindwa kuandaa mana kutetea haki yetu ya kutokuburuzwa!??!!!
Mkuu hivi nawewe ni miongoni mwa wanaoogopa mkwara mbuzi wa polisi wa bongo[emoji50] [emoji50].

Hawana lolote hao, andamana utetee haki yako acha ukondoo.au wanakutisha na viwashawasha vyao[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
JWTZ ipo imara,,waachiwe hata kesho hao wafungwa na wahalifu wengine, nakuhakikishia waturudishwa gerezani
mmoja baada ya mwingine kama kuku,police wanapata hela ya ziada ya kupiga kiwi vitatu,,JWTZ wanapata wapi
Tatizo halitakuwa wafungwa kama unavyoandika, ila waliowaachia wafungwa wanataka nini??? hapo ndipo utajua jwtz ni imara au ni mkate mkubwa bila chai.

Acha kuandika ukuruta humu.
 
Mkuu hivi nawewe ni miongoni mwa wanaoogopa mkwara mbuzi wa polisi wa bongo[emoji50] [emoji50].

Hawana lolote hao, andamana utetee haki yako acha ukondoo.au wanakutisha na viwashawasha vyao[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sii jambo la maana saaana kubwia sumu ya panya kwa kigezo cha kuwa na mdomo.

Wanadamu wote hawapendi kufa, ila wametafuta maneno laini laini kujifariji utasikiia "kazi ya mungu haina makosa"¡!!!!

mungu awaueni tena...
 
Acha wakome
Watu dizaini yako huwa nawashangaa sana,
Natamani itokee polisi wasifanye kazi siku 3 tu tuone huo muziki uko mtaani itakuwaje!!!

Tukae wiki tu askari magereza wawe off tuone hao waizi na timbwili lao kitaa.

Ninaamini polisi wanafanya kazi kubwa kuliko vyombo vingine, wanachukiwa kwasababu contact yao na jamii ni kubwa kuliko vyombo vingine!!!!

Polisi wapo barabarani wakiongoza magari, wapo upelelez wakipeleleza kubaini yupi mhalifu yupi innocent, wapo ktk mabenk wakitulindia pesa zetu, wapo mitaani ktk doria ili tutembee kwa amani!!

Binafsi nawaombea kheri nyingi polisi wetu na MUNGU azidi kuwasimamia na kuwaongoza ktk ufanisi sahihi!!!!
 
Acha namba zisomeke. Polisi hadi 2009 akili zitarudi mahali pake
 
Mh.Rais kazi nzuri sana, nashukru umewaonyesha Polisi wew siyo mtu wa mchezo mchezo.

Posho ile ya Duty free itaanza na JWTZ na wao POLISI na TISS itafuata baadae pale uchumi utakaporuhusu. MAGEREZA na wale sijui FIRE ndiyo hawajatajwa kabisaa..

Huu mchezo hautaki hasra, safi sana mh Rais utakuwa umewafundisha hawa Polisi kuwa wewe siyo mtu wa mchezo mchezo..

Ebu fungua hii vidio usikilize mh. Rais anavyoyagawa Majeshi yake..

Hii post yako mi naiona imebeba fitna na chuki, mbona hoja za Mh. Raisi ziko wazi sana.
 
JWTZ ipo imara,,waachiwe hata kesho hao wafungwa na wahalifu wengine, nakuhakikishia waturudishwa gerezani
mmoja baada ya mwingine kama kuku,police wanapata hela ya ziada ya kupiga kiwi vitatu,,JWTZ wanapata wapi
Laiti ungejua jwtz hawana elimu ya ku handle jamii, ikitokeaga mwenzao tu kapigwa ktk ulevi kesho hawantafuti aliyempiga mwenzao wao watataka kupiga mtaa mzima.
Sipati picha wakiachwa wafanye kazi za polisi mwezi itakuwaje!!!

Ukikutwa na tshet tu inafanania jeshi utaburuzwa mtaroni, utapakwa tope, na utarukishwa kichura mpk damu izizime!!!
Much respect to Police of Tanzania
 
Watu dizaini yako huwa nawashangaa sana,
Natamani itokee polisi wasifanye kazi siku 3 tu tuone huo muziki uko mtaani itakuwaje!!!

Tukae wiki tu askari magereza wawe off tuone hao waizi na timbwili lao kitaa.

Ninaamini polisi wanafanya kazi kubwa kuliko vyombo vingine, wanachukiwa kwasababu contact yao na jamii ni kubwa kuliko vyombo vingine!!!!

Polisi wapo barabarani wakiongoza magari, wapo upelelez wakipeleleza kubaini yupi mhalifu yupi innocent, wapo ktk mabenk wakitulindia pesa zetu, wapo mitaani ktk doria ili tutembee kwa amani!!

Binafsi nawaombea kheri nyingi polisi wetu na MUNGU azidi kuwasimamia na kuwaongoza ktk ufanisi sahihi!!!!
 
Laiti ungejua jwtz hawana elimu ya ku handle jamii, ikitokeaga mwenzao tu kapigwa ktk ulevi kesho hawantafuti aliyempiga mwenzao wao watataka kupiga mtaa mzima.
Sipati picha wakiachwa wafanye kazi za polisi mwezi itakuwaje!!!

Ukikutwa na tshet tu inafanania jeshi utaburuzwa mtaroni, utapakwa tope, na utarukishwa kichura mpk damu izizime!!!
Much respect to Police of Tanzania

umhimu wa polisi uko kipindi cha uchaguzi tu
 
Hii post yako mi naiona imebeba fitna na chuki, mbona hoja za Mh. Raisi ziko wazi sana.

hoja ziko wapi hapo kama mh rais pesa ambayo imetoka free duty anawapa askari wake kwa mafungu na kusema wengine uchumi ukiruhusu..mapolisi yasubiri uchumi utaruhusu kuelekea uchaguzi 2020
 
Nimesoma maoni ya watu wengi kuhusu mada hii, nimegundua watu wengi hatufahamu ubaguzi huu wa vyombo vya ulinzi na usalama, umetokanatokanaje!
Kwa macho ya kawaida na kauli za makusudi za viongozi wa siasa zinaendeleza kujenga "ukuta" na ubaguzi wa makusudi katika vyombo vya ulinzi na usalama kwa uzembe wao wa kutozibadilisha sheria za majeshi zenye harufu ya ukoloni.
Ubaguzi huu wa kujiona nani bora katika vyombo hivi, haujaanza leo. Ubaguzi huo ulitengenezwa na sheria za kikoloni kwa makusudi ya matakwa na mahitaji ama malengo maalumu ya wakati huo.
Wakati Bunge linakaa kutunga sheria ya jeshi mwaka kama sikosei 1967/8, inavyoonekana hawakutunga, bali walibariki sheria ya majeshi ya kikoloni iendelee kutumika ileile, isipokuwa kuifanyia amendments ndogondogo, mf: majina ya nchi kijiografia nk, lakini mambo ya msingi kuachwa vilevile.
Jeshi la taifa katika vitabu vyao vya sheria ambavyo wao wanaviita volumes 1,2,3 vimefafanua bila kuacha neno kuhusu stahiki zao za majukumu, nidhamu na malipo.
Hii inayoitwa posho na duty free kwenye vitabu vya sheria yao ipo kisheria, wanastahili kulishwa,kunyweshwa na kuvishwa siku ya kwanza hadi ya mwisho ya utumishi wao pia upendeleo katika manunuzi ya bidhaa.
Haya mambo ya kuwaona polisi na magereza si wanajeshi, yapo katika sheria zao(jwtz) vol 1. Inavyofafanua jinsi linapotokea jambo la hatari ama vita namna ya kuwashirikisha vyombo vingine vinavyofanana na jeshi.
Pia katika lugha za jeshi(jwtz), polisi na magereza zinatajwa kama ni taasisi za kiraia kama zilivyo taasisi zingine za kiraia, ambapo wanajeshi kwa masuala ya kinidhamu hawaruhusiwi kuwakamata na kuwatupa jela za kijeshi ama kuwafungulia mashitaka nje ya makambi ya kijeshi. Kwao polisi na magereza cjui Tiss ni raia.
Haya mambo unayoyaona hivi sasa polisi, magereza na Tiss kupokea posho ni baraka za wanasiasa, lakini hakuna sheria iliyowazi inayoeleza polisi ama magereza atalishwa chakula, vinywaji ama duty free shop, vituhivyo hakuna kisheria.
Kwa mtizamo wangu, vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo sawa kutokana na majukumu jinsi taifa lilivyopanga.
Kuna haja sasa kupitia upya sheria za majeshi yote ya serikali, kuyatungia sheria zinazoondoa ubaguzi katika maslahi, kuwakweza baadhi na kuwatweza wengine.
Hii kauli ya kusema kwanini wanajeshi(jwtz) wanapendelewa, ni kauli inayotoka kwa watu wasiofahamu kwamba, upendeleo huu upo katika sheria za majeshi ambazo kiukweli ni za kiupendeleo zinazostahili kubadilishwa.
Tuige mfano wa Uganda. Waganda walishaliona hili siku nyingi kuwa ni tatizo. Wao vijana wao wote huingizwa jeshi la taifa mfano kwetu jwtz na wakimaliza mafunzo ya awali, ndipo hugawiwa jeshi,polisi,magereza nk. Na yeyote popote katika utumishi wake atakapokwenda kinyume na maadili hukabiliwa na sheria za kijeshi, maana atakuwa ni mwanajeshi kimsingi na maslahi yao hayana ubaguzi.
 
We ndio umenena mkuu,wengine wanaandika kwa mihemuko yao ya kisiasa
 
Ni kweli sana ulichoandika.Hata ukiona Nyota ya JWTZ inatolewa na Rais mwenyewe tena anatamka wazi ni kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Tanzania pamoja na sheria ya ulinzi na Usalama.Haya majeshi mengine ili ukutane na kupewa na Rais mpaka kwenye ukamishna.Ukiwa na nyota moja sijui inakuwaje,ukiwa na tatu na kuendelea unaitwa gazzeted.JW hakuna hii kitu na ndio maana kwa kweli inabidi wahudumiwe vizuri na waogopwe na wanasiasa.
 
Jwtz ni glass ya wageni, inasubiri wageni sio kwamba ni imara na haivunjiki.
 
Nimesoma maoni ya watu wengi kuhusu mada hii, nimegundua watu wengi hatufahamu ubaguzi huu wa vyombo vya ulinzi na usalama, umetokanatokanaje!
Kwa macho ya kawaida na kauli za makusudi za viongozi wa siasa zinaendeleza kujenga "ukuta" na ubaguzi wa makusudi katika vyombo vya ulinzi na usalama kwa uzembe wao wa kutozibadilisha sheria za majeshi zenye harufu ya ukoloni.
Ubaguzi huu wa kujiona nani bora katika vyombo hivi, haujaanza leo. Ubaguzi huo ulitengenezwa na sheria za kikoloni kwa makusudi ya matakwa na mahitaji ama malengo maalumu ya wakati huo.
Wakati Bunge linakaa kutunga sheria ya jeshi mwaka kama sikosei 1967/8, inavyoonekana hawakutunga, bali walibariki sheria ya majeshi ya kikoloni iendelee kutumika ileile, isipokuwa kuifanyia amendments ndogondogo, mf: majina ya nchi kijiografia nk, lakini mambo ya msingi kuachwa vilevile.
Jeshi la taifa katika vitabu vyao vya sheria ambavyo wao wanaviita volumes 1,2,3 vimefafanua bila kuacha neno kuhusu stahiki zao za majukumu, nidhamu na malipo.
Hii inayoitwa posho na duty free kwenye vitabu vya sheria yao ipo kisheria, wanastahili kulishwa,kunyweshwa na kuvishwa siku ya kwanza hadi ya mwisho ya utumishi wao pia upendeleo katika manunuzi ya bidhaa.
Haya mambo ya kuwaona polisi na magereza si wanajeshi, yapo katika sheria zao(jwtz) vol 1. Inavyofafanua jinsi linapotokea jambo la hatari ama vita namna ya kuwashirikisha vyombo vingine vinavyofanana na jeshi.
Pia katika lugha za jeshi(jwtz), polisi na magereza zinatajwa kama ni taasisi za kiraia kama zilivyo taasisi zingine za kiraia, ambapo wanajeshi kwa masuala ya kinidhamu hawaruhusiwi kuwakamata na kuwatupa jela za kijeshi ama kuwafungulia mashitaka nje ya makambi ya kijeshi. Kwao polisi na magereza cjui Tiss ni raia.
Haya mambo unayoyaona hivi sasa polisi, magereza na Tiss kupokea posho ni baraka za wanasiasa, lakini hakuna sheria iliyowazi inayoeleza polisi ama magereza atalishwa chakula, vinywaji ama duty free shop, vituhivyo hakuna kisheria.
Kwa mtizamo wangu, vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo sawa kutokana na majukumu jinsi taifa lilivyopanga.
Kuna haja sasa kupitia upya sheria za majeshi yote ya serikali, kuyatungia sheria zinazoondoa ubaguzi katika maslahi, kuwakweza baadhi na kuwatweza wengine.
Hii kauli ya kusema kwanini wanajeshi(jwtz) wanapendelewa, ni kauli inayotoka kwa watu wasiofahamu kwamba, upendeleo huu upo katika sheria za majeshi ambazo kiukweli ni za kiupendeleo zinazostahili kubadilishwa.
Tuige mfano wa Uganda. Waganda walishaliona hili siku nyingi kuwa ni tatizo. Wao vijana wao wote huingizwa jeshi la taifa mfano kwetu jwtz na wakimaliza mafunzo ya awali, ndipo hugawiwa jeshi,polisi,magereza nk. Na yeyote popote katika utumishi wake atakapokwenda kinyume na maadili hukabiliwa na sheria za kijeshi, maana atakuwa ni mwanajeshi kimsingi na maslahi yao hayana ubaguzi.
I like that.
 
Back
Top Bottom