NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
Na posho za MSD itakuaje
Kila askari ana umuhimu kwa nafasi yakeNikweli,,amefanya la maana kuwajari JWTZ kwanza,,,,wanalinda mipaka ya nchi
Fafanua kidogo mkuu wanaijua kivipi na Waziri alisemaje maana kama vile sikumbuki loloteUmeongeza chumvi kwenye maneno yako. Hyo ya duty free mbona wanaijua. Kama utakumbuka hotuba ya waziri wa fedha alivyosoma budget aliisema hyo
Ila tuweni wakweli, Polisi ni miongoni mwa watumishi wa umma wanao onewa sana.
Mishahara yao ni uchungu, makazi yao ni vituko tupu.
Tumpongeze kwa kuwanyima posho, ila wakiungana na panya road kujiongezea kipato tutoe pongezi pia.
Mkuu, silaha kuu ya kujikinga na uonevu ni akili.Watu wana silaha, marungu, mabom ya machozi, pingu... ? wanaonewaje wewe?!
Kama umefurahi watakopopata usiishie kununa tu lia kabisa.Nimefurahi sana Polisi walivyonyimwa kwa sasa.
Hawatendi haki kabisa kwenye kazi zao.
Mkuu, silaha kuu ya kujikinga na uonevu ni akili.
Hivyo ulivyotaja ni physical destructive materials.
Kila askari ana umuhimu kwa nafasi yake
Suppose hayo wezi wanaofungwa jela wakiachiwa wote wajae mtaani?
Kuna majambazi na watu wengi hatari unawajua au waiachie jwtz ifanye kazi zote?
Watanzania uelewa wetu bado ni mdogo tukubali tu
Unazungumza kwa ushabiki tu, nchi zote duniani zina polisi na magereza kwani wanajeshi hakuna? Unajua maana ya mgawanyo wa madaraka? Au unapenda kuangalia rangi za nguoJWTZ ipo imara,,waachiwe hata kesho hao wafungwa na wahalifu wengine, nakuhakikishia waturudishwa gerezani
mmoja baada ya mwingine kama kuku,police wanapata hela ya ziada ya kupiga kiwi vitatu,,JWTZ wanapata wapi
Ndio maana huwa nasema upinzani Tanzania ni dhaifu! wewe unajua kabisa kwamba kuandamana ni haki yako halafu unazuiwa kirahisi na polisi?Haibadilishi maana kwa kuwa wanatuonea sana hao polisi na magari yao ya washa washa.
Mtu hadi tunashindwa kuandaa mana kutetea haki yetu ya kutokuburuzwa!??!!!
Ndio maana huwa nasema upinzani Tanzania ni dhaifu! wewe unajua kabisa kwamba kuandamana ni haki yako halafu unazuiwa kirahisi na polisi?
Haki haiombwi, haki inapiganiwa.
Leo hii Dunia inaomboleza kifo cha Fidel Castro kwa kumwita shujaa,Kwa maana hiyo unatafuta matusi ili tupigwe ban si ndio??
Magu acha kuchekesha, eti mwanajeshi wa Tanzania ana sacrifice sana kwa ajili yetu, ana sacrifice kitu gani mwanajeshi wa kibongo?