gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
I do agree mkuuIla tuweni wakweli, Polisi ni miongoni mwa watumishi wa umma wanao onewa sana.
Mishahara yao ni uchungu, makazi yao ni vituko tupu.
Tumpongeze kwa kuwanyima posho, ila wakiungana na panya road kujiongezea kipato tutoe pongezi pia.