Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,658
Reaction score
33,663
Hello JF

Kwa wale ambao washawahi kuangalia drama za Crime Scene Investigation washawahi kuona ' profiling ' wanayofanya wachunguzi kujua kama crime Imekuwa committed na mtu mmoja au tofauti..........

kina Heche/Hilda kuchukuliwa 1. Kuzungushwa kwenye gari 2. Kupigwa 3.Kuachwa msituni ni similar na kina Sativa na wengine walivyofanyiwa............

Tunaweza ku conclude ni the same perpetrators waliocommit both crimes........

Sijui nani atanishawish sio polisi wa mama waliomteka Sativa.....

Serikali ya samia ina roho/damu za watu zinazolia...I wonder how she sleeps at night...

To think she will lead another term makes me sick!
 
Yana mwisho kama yapo!
 
Ni mambo ya kutamausha sana.
 

Kina Yonda, Nyanye Go, Drlfter, binti viziwi, g-55 na madalali wenzao watapinga.
 
How good is this galo/woman?
 
mama D njoo ona wanawake wanaojitambua
Atakupa mistari ya biblia kujipendelea , mdhambi kama mwijaku na HAUMIi ila anajifagilia wakati nafasi inamsuta mama D sio mtumishi wa Mungu ni Moja ya wafanyakazi wa serikali ya ccm Dodoma anayejufanya mlokole.
 
Hili mbona liko wazi kabisa. Sativa alisema Mafwele ndiye alitoa oda. Jambo la faraja ni kuwa hao polisi wanaishi na kuburudika mitaani na wananchi hao hao wanaowaua. Akili kum-kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…