Polisi wa kike za kizanzibari

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
aiseeee....huyu sijui kamiksi na babu zake wahabeshi au kapitisha kale ka asha baraka usoni....
 
(polisi wa kike za kizanzibari).....Yo Yo....ulikusudia kusema nini.....?
 
Yo yo bwana
kwani mwanamke akiteleza ni lazima carolight?
 
Katoto safi kabisa.
Kesho naenda zenji lazima nikatafute.
OTIS
 
Nadhani kazidisha kale ka asha baraka, joto linamuumiza
 
aiseeee....huyu sijui kamiksi na babu zake wahabeshi au kapitisha kale ka asha baraka usoni....
Mzee wangu aangalie asikate vidole kwa shake shake, ni hatari Polisi Zanzibari!!!!!!!!!!!!!

 
wallah mtoto amshinda mamaye huyo.Nalog off
 
Kazi za Makamu wa rais ni nyepesi sana..Uzinduzi, ufunguzi wa makongamano, warsha, symposium, workshop na semina!
Huyo dada polisi Maashallah!
terhe tehe hiyo kitu niliona sana.....kile cheo kimekaa kisiasa siasa...
 
Kwingine kooote, ila macho yake, dah!
Asingetengeneza tu wanja wa sina bwana
 
Huo uso kazidisha mapowoda
 
Yo yo bwana
kwani mwanamke akiteleza ni lazima carolight?
huyu sina hakka....naangalia hata pua yake ni zile za habeshi..may be atakuwa nachuro may be.....ila mhh naona nyusi kazifanyaje sijui....
 
Malaria Suguuuuuu! Njoo uone mfumo kristo huku. Eti polisi wa Zanzibar hajavaa hijab, si kuudhalilisha uislamu jamani?!

Ila tukiacha utani, mtoto ana macho matamu nyee, mweh! Nitakwenda Z'bar nikishauza maboga yangu nikammendee pale forodhani.
 
Reactions: tz1
aiseeee....huyu sijui kamiksi na babu zake wahabeshi au kapitisha kale ka asha baraka usoni....
Kawaida ukiona kigu kizuri sana au kibaya sana cha kutisha unapatwa na mshangao mkubwa wazungu wanasema THUNDERBOLT, sasa ukiwa katika hali hiyo maji utaita mai.........ndo kilichomtokea YO YO
 
Nadhani kazidisha kale ka asha baraka, joto linamuumiza
Tuongee ukweli,mnajuaje kajikoboa wakati mikono na miguu haionekani?
Mimi naona kama kazidisha poda na pia nikarembo flani maana tunamazoea ya
kifikiria polisi lazima awe na sura ya kutisha kama wasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…