Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,941
- 2,087
🤣🤣🤣Lipumba ni wakala wa ccm hawezi kukamatwa , labda kama wameamua kumtunza tu
Duuu !Hapo anaigiza kukamatwa ili wapinzani waone hata yeye anakamatwa kisha akiomba kujiunga na wapinzani wa kweli wammkubali halafu awavuruge. Hata wakiwatuma wale waliompiga risasi Lissu na wampige na yeye, bado tunajua sio mpinzani bali pandikizi.
Wakuu mnaionaje hii? mbona imekaa kama maigizo? Lipumba anatafuta kitu gani sasa?Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba>Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba
Wamemkamata akiwa anakimbilia wapi? Lipumba naye ni wa kukamata? Matumizi mabaya ya pato la Taifa