Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

Wamemkamata akiwa anakimbilia wapi? Lipumba naye ni wa kukamata? Matumizi mabaya ya pato la Taifa
Mkuu unajua unapotaka kunya unatafuta seemu nzuuuuri unaachia vitu ukishamaliza yaan hutaki ata kupaangalia ndo kwanza unapatemea na mate na unajiskia ata kutapika ukipaona. Ndo wamemfanyia ivo prof

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye jambo moja la maana mwaka huu: tuipige chini CCM la sivyo tutaiharibu nchi yetu bure.
 
Pilisi wanautenda hivi mti mbichi itakuaje mti mkavu.
 
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Screenshot_20200126-140217.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anaigiza kukamatwa ili wapinzani waone hata yeye anakamatwa kisha akiomba kujiunga na wapinzani wa kweli wammkubali halafu awavuruge. Hata wakiwatuma wale waliompiga risasi Lissu na wampige na yeye, bado tunajua sio mpinzani bali pandikizi.
 
Hio kiki tu, uchaguzi unakuja, ili kuaminisha watu kuwa cuf ya lipumba ni upinzani
 
Wamkamte tu kuzuga kuwa naye anapita tanuli la moto.ni mwanasiasa pekee Tz kurudishwa ofisini na haohao polisi waliyomkamata.mpiga dili tu huyo
 
Mbona hatusikii anakataliwa kwa "usaliti" na wenyeji kwenye ziara zake za nyumba kwa nyumba?
FB_IMG_15798186160460193.jpg
 
Kwa harakati hizi kuna siku mtamkamata polepole kwa kufanya mkutano bila kibali.
 
Back
Top Bottom