Polisi Tanzania na Bange | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Tanzania na Bange

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 7, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  niliona video footage ya tukio la arusha ambapo anaonekana askari akitumia kirungu kuvunja kioo cha gari kwa kukipiga si mara moja, bali mara mbili, tatu na zaidi mpaka dereva alipoamua kuondosha gari kwa kasi.

  ile kweli siyo bange?
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Angalia jamaa alivyolifyatulia risasi...nilidhani naangalia Terminator..kumbe tukio la Arusha

  Ukitaka kuwajua angalia wakati wanaichoma bange....
  ukitaka kuwafahamu vizuri angalia wakati wamekamata mitungi ya gongo....

  Ila siwalaumu, tatizo wanatumia akili za waliochoka kufikiri, unatarajia nini ikiwa wanatekeleza order za Mkwere!?
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG]

  hatutaki maandamano
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Na mimi niliona channel 10. Ni bange haswa! Sijui hicho chuo wanachojifunzia kama ni chuo makini. Naanza kutilia mashaka credibility ya chuo cha polisi (CCP). Nadhani sasa ni chuo cha kufundishia watu mateso ( torture academy ) hakika nina kila hali ya kukubali kwamba ni moja ya vyuo vya ovyo sana. Ninaye mwanangu Morogoro ambaye ni Polisi wa cheo cha juu, itabidi nimpingie simu kuuliza nini wanafundishwa huko Moshi.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  siku nyingine hakuna kuandamana
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hatutaacha na yakizidi tutaingia na vifaa walivyonavyo polisi mitaani, tuone kama jeykey utaendelea kufurahi hapa JF.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  20.-(1) Every person has a freedom, to freely and peaceably assemble,
  associate and cooperate with other persons, and for that purpose, express views
  publicly and to form and join with associations or organizations formed for
  purposes of preserving or furthering his beliefs or interests or any other interests.
  Hiyo ni katiba yetu. Kikwete anavunja katiba aliyoapa kuitumikia, mwema anamsaidia kikwete kuivunja katiba!
   
 8. soine

  soine JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 389
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Inaelekea huwa wakienda kuharibu mashamba ya bangi Rorya-Mara na Meru-Arusha huwa wanachukua za kutosha! Haiwezekani anayejiita mlinda amani kumdunda mtu rungu za kichwa na mateke kifuani. Huu ni uuaji.
   
 9. soine

  soine JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 389
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Aaah! Wewe hujui kuwa imeandikwa kwa lugha ya kizungu?
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280


  Bangi inawapa NGUVU, Lucky Dube alifahamu hili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,602
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Hawa polisi ni kuwauwa tu kimya kimya huko uraiani, wawekeeni sumu kwenye vyakula, maji ya kunywa,pombe na kuwashambulia vichochoroni wakipita, washenzi wakubwa hawa. Japokuwa wao wanatekeleza amri za makamanda wao itafika mahali wataamua kugoma na huo ndiyo ukombozi wenyewe.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,320
  Likes Received: 22,122
  Trophy Points: 280
  Kule CCP hiyo ndio chakula yao wakiambiwa kuwa kuna OPERATION
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mh...
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa ninavyowafahamu Wachaga kwa VISASI, kuna vita kali sana itaanza kwa chinichini huko Arusha.

  Kwa hili inabidi KUMPA HONGERA LOWASSA maana aliwaonya wasifanye mchezo na ARUSHA.

  Namhurumia huyu kiongozi wa TAMISEMI sijui? Namhurumia huyu Meya FEKI aliyepachikwa.

  Ningelikuwa mie ningeliachia ngazi na kumaliza ugomvi ili uchaguzi urudiwe.

  Nawahurumia POLISI hasa wale wanaoishi URAIANI. Kumbuka walivyowapiga RISASI wale vijana kwa kudai eti wameiba HELA petrol Station. Watu wa Arusha watakuwa na HASIRA sana na POLISI wa mji huo. Ukija changanya na huyu Mkuu mpya wa POLISI hapo, ndiyo kabisaa.... Hata yeye namhurumia sana maana atakuwa anaishi maisha ya wasiwasi mkubwa sana. Kibaya zaidi ni kuwa mambo yakiwaka siku moja, WATAMKANA WOTE. Heri ya Matei alijiondokea akiwa ANAPENDWA mkoa ule na bila kumwaga damu ya watu.

  Nawapa pole WAFIWA wote wa matukio yote hapo Arusha kwa kupoteza Wapenzi wao.

  Nawapa pole MAJERUHI wote waliopatwa na mkasa kwa kupigwa Risasi au Marungu, kupoteza mali zao na hata misukosuko ya mabomu. Mungu atakuwa nanyi na HUKUMU ni hapahapa duniani.
   
 15. M

  Msindima JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni bange kabisa.
   
Loading...