Polisi Tanzania, Jina la huyu Afisa wenu lina UKAKASI, libadilisheni upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Huyu AFISA POLICE JAMII Anayetoka JESHI LA POLISI Nchini Tanzania Aitwae Inspekta DOGO ULIZA GEUZA Nadhani Anahitaji Kubadili Jina Lake Vinginevyo Hilo Jina Lake Lina UKAKASI ULIOTUKUKA.

Hivi Una Shida Muhimu Ya Kipolisi Halafu Unaenda Hapo Police Unaambiwa Kamwone Inspekta DOGO ULIZA GEUZA Utaanza Anza Vipi Kuanza Kujieleza Kwake?

Kama Mnaweza Police Tanzania Jaribuni Kulirekebisha Hili Jina La Huyu AFISA Wenu au Kama HATOJALI Basi ABATIZWE Tu Jina Lingine Kwa Manufaa Ya KAZI Yake Lakini Kwa Jina Lake Hili La Afande DOGO ULIZA GEUZA Hakuna Mtu Atakayempa USHIRIKIANO Na Sana Sana TUTAKUWA TUNAMKWEPA Tu.

Na Pengine Nahisi Mmelisahau Jina Lake Labda La Mwisho Ambalo Nahisi Ni Inspekta DOGO ULIZA GEUZA KIMBIA.

Hivi WAZAZI Wake Walipokuwa Wanampa Haya Majina Maji Ya ILALA Mchikichini Yalikuwa Yameshakolea Kichwani au? Lifanyieni KAZI Hili JESHI LA POLICE TANZANIA Hasa Kwa MANUFAA YA UTENDAJI WAKE Hapo JESHINI Otherwise Nisalimieni Mno Afande Inspekta DOGO ULIZA GEUZA.
 
Mm nadhani majina sio tatizo la msingi inabidi skuangalia utendaji kazi wa jeshi la polisi hasa maswala ya kazi za binadamu. Kwasababu naona polisi mara nyingi ndio wakuwa wanaongoza kwa uvunjifu wa haki za binadamu.
 
Huyu AFISA POLICE JAMII Anayetoka JESHI LA POLISI Nchini Tanzania Aitwae Inspekta DOGO ULIZA GEUZA Nadhani Anahitaji Kubadili Jina Lake Vinginevyo Hilo Jina Lake Lina UKAKASI ULIOTUKUKA.

Hivi Una Shida Muhimu Ya Kipolisi Halafu Unaenda Hapo Police Unaambiwa Kamwone Inspekta DOGO ULIZA GEUZA Utaanza Anza Vipi Kuanza Kujieleza Kwake?

Kama Mnaweza Police Tanzania Jaribuni Kulirekebisha Hili Jina La Huyu AFISA Wenu au Kama HATOJALI Basi ABATIZWE Tu Jina Lingine Kwa Manufaa Ya KAZI Yake Lakini Kwa Jina Lake Hili La Afande DOGO ULIZA GEUZA Hakuna Mtu Atakayempa USHIRIKIANO Na Sana Sana TUTAKUWA TUNAMKWEPA Tu.

Na Pengine Nahisi Mmelisahau Jina Lake Labda La Mwisho Ambalo Nahisi Ni Inspekta DOGO ULIZA GEUZA KIMBIA.

Hivi WAZAZI Wake Walipokuwa Wanampa Haya Majina Maji Ya ILALA Mchikichini Yalikuwa Yameshakolea Kichwani au? Lifanyieni KAZI Hili JESHI LA POLICE TANZANIA Hasa Kwa MANUFAA YA UTENDAJI WAKE Hapo JESHINI Otherwise Nisalimieni Mno Afande Inspekta DOGO ULIZA GEUZA.
KUna sehemu ya kusini mwa nchi kuna uhaba wa majina.80's nilischool na mmoja wao wenye uhaba wa majina alikuwa anaitwa Fungakanga Twende.Waliosoma nami wakati ule Mazengo wana kumbukumbu yake.
90's nikawa staff mwenza na Haifai. Kuleta Mashindano.Nasikia mara ya mwisho alionekana sehemu huko Runzewe.
 
Kuna jina la mkuu wa wilaya nadhani alishafariki alikuwa anaitwa sijui nani BWANAMDOGO....!! Ila haya majina ya kiswahili yametulia sana kuliko haya ya kikoloni.
 
Niliwahi kumhudumia mmoja anaitwa Mjinga Alime Mwenyeji Ale. In all sioni shida na majina ya watu. Huwezi jua kwa nini alipewa hilo jina na lina maana gani. We have to embrace our differences and diversity. Kama vipi basi tupitishe sharia kama nchi za wenzetu kuhusu majina!
 
mmmh la kweli hilo jina,,,,,,,,!!!
 
Huyu afisa ni wa kituo gani mkuu?
Niliwahi kuishi jirani na jamaa mmoja aliitwa "Mjinga Mwenyekuuliza".
Majina ya waswahili hatari sana

Nenda Pale Central Utampata ILA Kama Unajijua Una Kosa Lolote Nakushauri Usipeleke Pua Yako Pale Kwani Huyo Jamaa Nasikia Hana MASIHARA.
 
Jamani Kuna siku nilienda kwenye mkutano mmoja wa Nchi za Kiafrica . Mama mmoja Mzimbabwe alikuwa pembeni yangu .tukasalimiana .
Mi nikamwambia jina langu la kwanza na la mwisho .
Ye akanijibu "Nice to meet you Miss ......... ...... . I'm Mrs Mkundu. Akanionyeshea na tag yenye jina lake spelling ni hivyo hivyo .

Nikakosa cha kusema.
 
mmmh la kweli hilo jina,,,,,,,,!!!

Kumbe Huyu Afande Inspekta DOGO ULIZA GEUZA Naona Tunamwonea Kama Siyo Ana Afadhali Kwani Kuna Mtu Mwenye Jina Hili Bwana MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU Nadhani Ndiyo KANIMALIZA Kabisa Na Pengine Niseme Shikamoo Na Pongezi Kwa WAZAZI Wake Waliompa Hilo Jina.
 
Jamani Kuna siku nilienda kwenye mkutano mmoja wa Nchi za Kiafrica . Mama mmoja Mzimbabwe alikuwa pembeni yangu .tukasalimiana .
Mi nikamwambia jina langu la kwanza na la mwisho .
Ye akanijibu "Nice to meet you Miss ......... ...... . I'm Mrs Mkundu.

Nikakosa cha kusema.

Ngoja Nimtafute Sasa Hivi Facebook Huyo Mrs Mkundu. Tusipoangalia WAAFRIKA Haya Majina Tunayopewa Yatakuja Kuwatesa Mno KISAIKOLOJIA Vizazi Vyetu Vijavyo. Nahisi Kadri Huu UZI Unavyoenda Leo Mbavu Zangu Zitakuwa Very Busy Kwa Kucheka!
 
Jamani Kuna siku nilienda kwenye mkutano mmoja wa Nchi za Kiafrica . Mama mmoja Mzimbabwe alikuwa pembeni yangu .tukasalimiana .
Mi nikamwambia jina langu la kwanza na la mwisho .
Ye akanijibu "Nice to meet you Miss ......... ...... . I'm Mrs Mkundu. Akanionyeshea na tag yenye jina lake spelling ni hivyo hivyo .

Nikakosa cha kusema.
Duh.........ungemwambia maana ya jina lake kwa Kiswahili.......;)
 
Back
Top Bottom