Polisi Tanzania inanuka rushwa


Polisi wamezidi njaa
 
Takukuru ni wasanii wale, kama wangekuwa wanafanya kazi zao basi rushwa isingeendelea kushamiri nchini.

 
Inawezekana pia watoa rushwa hawana elimu ya kutosha kuhusu haki zao. Lakini upande wa polisi wao ndio wanajua lakini kwa nini wao wanavunja sheria hadharani? Hivi asilimia 99% ya magari ni mabovu kama unavyodai ndio ticket ya kupokea rushwa?

Hakuna raia asiyejua kutoa/kupokea rushwa ni kosa. Waambie wabunge wenu wabadilishe sheria hizi ambazo zinaurasimu katika kuanzisha au kuendesha biashara au kitu chochote maana ndizo zinazochangia kuchochea rushwa. Hata kama mimi ningechukua hiyo rushwa kama basi lako halistahili kuwepo kwa road na wewe umeliweka hivyo ni sawa na kusema nimekuja kukupatia chako niendelee na changu.
 
rushwa itaendelea kuwepo na kuwepo...tatizo la rushwa inabidi tuanzie juu ya mabilions....syo hao wachukua rushwa dagaa
 
Difficult to track down and prosecute since raia kazi yao kupiga kelele kwenye mitandao.

Kwahyo raia wakipiga kelele ni haki yao kuchukua rushwa na njaa zitawaua kuomba mara ya chai
 
Kwanza mimi sio mtoto nimeshuhudia kwa macho yangu. Ikaniuma kwa ajili ya nchi yangu. Kwa nini rushwa imekua hadharani kiasi hiki? Tunaipeleka wapi nchi yetu? Trafiki hawana hata aibu.
piga kelele kwa serikali iwaongezee masilahi huenda kero hizo zikaisha
 
Kama gari bovu sheria si zipo? Kwanini kujishusha hadhi kazi yao kwa ajili ya sh 2000? Hata kama njaa polisi wamezidi. Na Kwanini usimamishe gari halafu unazunguka nyuma ya gari?
unaona wanafaidi sana? wivu tu nenda na ww ukaombe kazi hiyo
 

Huo ni ukweli usiopingika.

Inabidi hatua za haraka sana sichukuliwe la sivyo hili jeshi la polisi litaipeleka hii nchi pabaya. Wengi wa mapolisi si waaminifu.
 
Takukuru ni wasanii wale, kama wangekuwa wanafanya kazi zao basi rushwa isingeendelea kushamiri nchini.


mdau BAK TAKOKURU hawawez kuimaliza rushwa,wala wanasiasa hawawez kuimaliza rushwa,wala katiba haitamaliza rushwa,ila sisi wananchi wenyewe,soma pia PhD Thesis ya Dk.Hoseah inazungumzia CORRUPTION IN TANZANIA
 
Last edited by a moderator:
Wamezidi sasa maana hata madereva wanalalamika maana imebidi apunguze dau alianza na buku mbili akashuka hadi jero kaona karibu kila kituo wapo. Na traffic wasivyo na haya wanachukua tu.

MamaBeata usiumize kichwa rushwa nchi hii imeshindikana
 
Last edited by a moderator:
Rushwa mnatoa wenyewe, hakuna polisi anayelazimisha utoe rushwa. Kama una kosa kwa nini usikubali ulipe faini, badala yake unakimbilia kutoa rushwa. Hata mimi ningekuwa polisi ningepokea maana pesa mnatoa wenyewe bila kulazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…