Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

kama ni kweli alimpiga askari hapaswi hata kuwa daktari na alipaswa kunyang'anywa kibali cha kutibia watu nchini anaweza kwenda nje ya nchi, again siujui ukweli wote lkn kama ni kweli alimshambulia law enforcement hapaswi kuendelea kutibu nchini na anyanganywe kibali cha utabibu.

anayetoa kibali cha utabibu ni serikali na serikali inaweza kukichukua pia, tuache kuishi kwa mazoea, kumshambulia law enforcement aliyekuwa kazini kutekeleza majukumu yake ni no go, hiyo inavuka mipaka yote, nothing justifies that , kama unaona umeonewa sheria ziko wazi, askari wote wana utambulisho lkn kumshambulia askari aliye kazini ni kosa kubwa, kwa maoni yangu kama ikithibitishwa amemshambulia askari aliyekuwa akitekeleza majukumu yake hapaswi tena kurudi kazini na kuruhusiwa kutibu watu ndani ya jamhuri ya tanzagiza ...
Trash,masaburi yako
 
Kwahiyo Mkuu unabariki kitendo cha huyo Daktari kujichukulia sheria mkononi? Heshima kwa vyombo lazima ilindwe kwa wivu mkubwa na yeyote anayejaribu kutweza mamlaka ya vyombo atalipia kwa gharama kubwa utovu wake wa nidhamu.

Sijaona hata mmoja aliyetoka hadharani kukemea ama kulaani kitendo kilichofanywa na huyo daktari as if yeye anastahili sana kuwafanyia wengine vitendo viovu.

To earn respect, yo must show respect in the first place
Ila askari kuuwa,kuteka na kupiga raia wasio na hatia kwao ni sawa?
 
Ukifuatilia historia ya vyombo ulimwenguni kote na utendaji wake hautegemei uungwaji mkono wa Wananchi, kwakuwa viko pale kutumikia maslahi ya Taifa na iwe unataka ama hautaki vitakuwepo na vitaendelea kuwepo.

Katika utekelezaji wa majukumu yake hata usiporidhia kushirikiana navyo utashirutishwa kuviheshimu na kuvipa ushirikiano pale inapobidi.

Hata kwenye Civil-Military relations vyombo vinahimizwa kuwa na mahusiano mazuri na raia, lakini mahusiano hayo hayavifanyi vyombo kuwa dhaifu mbele ya raia ama kuondoa yale mamlaka yake hasa unapotokea utovu wa nidhamu ama kuvitweza vyombo.
You are very wrong.
Inaelekea wewe ni mtoto mdogo.
Jeshi lolote lisipopata uungwaji na wananchi hilo ni jeshi la mamluki.
Fela Ransome Kuti wa Nigeria aliwahi kuwaita watu wa aina hiyo kuwa ni sawa na Zombies.
Ungejikita kwanza kujua Taifa ni nini!

Kwa vile nimeridhika kuwa ni mtoto mdogo usiyejua hata kwa nini Mwalimu Nyerere aliiifuta KAR(Kings African Rifles) na kuanzisha JWTZ (Jeshi la Wananchi wa Tanzania) basi ningekushauri ujikite kwanza katika historia hiyo.
 
Duuh wewe ni kiazi
 
Matusi ni kimbilio la mpumbavu baada ya kukosa hoja
Mpymbavu ni wewe usiekuwa na akili
FB_IMG_1787232935573.jpg
 
You are very wrong.
Inaelekea wewe ni mtoto mdogo.
Jeshi lolote lisipopata uungwaji na wananchi hilo ni jeshi la mamluki.
Fela Ransome Kuti wa Nigeria aliwahi kuwaita watu wa aina hiyo kuwa ni sawa na Zombies.
Ungejikita kwanza kujua Taifa ni nini!

Kwa vile nimeridhika kuwa ni mtoto mdogo usiyejua hata kwa nini Mwalimu Nyerere aliiifuta KAR(Kings African Rifles) na kuanzisha JWTZ (Jeshi la Wananchi wa Tanzania) basi ningekushauri ujikite kwanza katika historia hiyo.
Inawezekana ni mtoto mdogo, ila twende kwa facts. King African Rifles (KAR) likuwa ni Jeshi la kurithi toka kwa Uingereza hivyo lilikosa ownership ya Tanganyika ya wakati huo. Tulivyopta uhuru na kuwa Jamhuri mwaka 1962 na the late J.K. Nyerere kuwa Rais, kumbuka wakati tunapata uhuru alikuwa bado ni PM.
KAR ilikuwa ikiongozwa kwa mifumo ya kikoloni na viongozi wengi wengi wa juu Jeshini walikuwa ni foreigners na kulikuwa na ukandamizaji mkubwa wa maslahi ya askari wa vyeo vya chini ambapo wengi ni wazawa jambo lililopelekea uasi Jeshini ulionzia pale Kolito barracks (kwasasa lugalo Miritary) ndipo ikaonekana haja ya kupata Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania hapo 1964..

Lengo ikiwa ni kuhakikisha Jeshi linakuwa chini ya umiliki wa Serikali ya JMT kwa 100%.

Ukitaka kujua dhima ya Jeshi lolote ulimwenguni kote kuitwa State apparatus utakuwa umeelewa nafasi ya Wananchi katika Jeshi.

Baada ya hapo nadhani utakuwa umejua umri wangu halisi
 
Unasahau kuwa jeshi lile la KAR, likuwa na discipline ya UMIMI, na ndicho kilichopelekea riot na mutiny(kuasi).
Jeshi lile halikuwa la ulinzi wa wananchi.
Hatutegemei hayo katika vyombo vyetu.
Unasahau vile vile kuwa katika vita ya Uganda, ilipoanza wanajeshi walikuwa wachache sana, lakini walipoitwa wananchi kuipigania nchi yao, wananchi waliinuka kwa nguvu na kuunga mkono tamko la Mwalimu.
Hivyo ukijikita kufikiri Polisi au jeshi ni mali ya kutetea serikali tu na si mwananchi, basi mawazo hayo hayana tofauti na wale askari wa KAR walioasi 1964.
 
Dakika 10 ni nyingi sana kwa wataalamu tuliobobea kumtambua mgonjwa wa afya ya akili.
sasa nyie mapolisi wa Tz mnautaalamu gani zaidi ya kuvizia wakosoaji wa serikali muwateke kuwabaka na kuwauwa

kwenye utaalamu wa utekaji wa raia nakubaliana na wewe hapo utakuwa mtaalamu
 
sasa nyie mapolisi wa Tz mnautaalamu gani zaidi ya kuvizia wakosoaji wa serikali muwateke kuwabaka na kuwauwa

kwenye utaalamu wa utekaji wa raia nakubaliana na wewe hapo utakuwa mtaalamu
Mkuu sasa hivi kuna vikundi ambavyo hata vyombo vya ulinzi na usalama unavifahamu. Hivi vyombo ni vya viongozi binafsi, navyo vinateka na kuua.
Vyombo vya ulinzi na usalama inaelekea inashindwa kunyanyua mdomo kwani vyombo hivyo binafsi ni vya waajiri wao.
 
Polisi hawajijui.
Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii.
Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi.
Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29 imeongeza chuki kutoka kwa wananchi.

Sasa tunaona reaction ya mtu mmoja mmoja kama huyo Daktari Agonza kwa kutendewa kitu ambacho akaona anyooshane na huyo polisi mhusika.

Akumulikaye mchana, usiku atakuchoma.
Huko ndiko tunaelekea.
Sasa madaktari wamejiapiza nasikia kulipa kisasi kwa mwenzao alivyotendewa, wao wanaona si haki kwa mwenzao Dr Agonza aliyekuwa anawahi hospitali.
Maisha ya askari polisi wadogo na familia zao ni lazima zitapitia wakati mgumu mahospitalini.

Kamanda Muliro anawajibu wa kutoa taarifa zilizo na ukweli badala ya zilizopinda pinda na kuficha uhalifu wa askari wake.
Kama mbwai mbwai.
 
Polisi kwa kutumika kwao vibaya kwa maslahi ya watawala wachache imejijengea chuki na sifa mbaya kwa wananchi, na rushwa zimejaa sana barabarani
 
Back
Top Bottom