Polisi ripoti ya uongo mnatupa, za ukweli mbona hamtupi?

Polisi ripoti ya uongo mnatupa, za ukweli mbona hamtupi?

Mwambieni Mtatilo, uchunguzi wa kesi ya Nondo hauanzii Iringa, unaanzia Dar es salaam, tangu saa sita usiku alipoanza kujitoa kwenye groups za Whatapp na kutuma ujumbewa "Maisha yake yako hatarini". Kisheria ukishaona kuna mtu anahatarisha au anatishia uhai wako unatakiwa kuripoti Polisi au kwa kiongozi wa serikali ya mtaa wako. Nondo mpaka anapanda basi mpaka anafika Iringa hajaripoti kituo chochote kuwa maisha yake yako hatarini na nani anayetoa vitisho hivyo hata kudhani anaweza kumteka.
Tueleze wewe alipanda basi gani saa 6 za ucku?? yupo kwenye hatari angewezaje kwenda kutoa taarifa?? Mpenzi wake wa uko iringa unamjua?? Taarifa zilienezwa na wanafunzi wenzake na sio yeye mwenyewe. Think twice
 
Tuisaidie polisi ktk upelelezi, ukweli wa Nondo umepatikana sababu ya msaada wa watu, ukasaidia uchunguzi wa kisayansi.
Ben saa8 ametekwa taarifa za kwanza za wasemaji wa chama zilikuwa "Kaenda masomoni South Africa", mpaka sasa Ben ni kama hana familia wala ukoo wote kimya, kama wanaojua nini kinachoendelea. Polisi wanasema Shahidi muhimu kupigwa risasi Tundu Lissu ni Dereva wake, anajua gari lililokuwa linawafuatilia tangu viwanja vya Bunge na hata kabla ya hapo. Yamekamatwa magari 8 shahidi muhimu hapatikani na wanaoumizwa kupigwa risasi Tundu Lissu hawaoni umuhimu wa hilo, siku zinaenda. Cha ajabu ametekwa kiongozi wa chama Kinondoni akiwa na mwenzake, ameuwawa, aliyefanikiwa kutoroka mikononi mwa watesi akiwa na marehemu amefichwa, hao Polisi watawezaje kupata ushahidi wa kilichotokea.
Kuna watu wanadhani Polisini watu wanye uwezo wa kutabiri, kuwa uharifu ukitokea wana njozi za kujua lilitokeaje na nani kafanya.
N.a. Azori?
 
..umesahau kuwa hata report ya uvamizi wa bashite clouds hawajatoa...achilia mbali kumchukukia hatua bashite na genge lake....lakini wameweza haraka kushughukika na tukio la nondo maana wao kwao double standards ndio namna yao ya utendaji....Taifa hili hakuna jeshi la polisi bali Polisi wa ccm...wenye kukinda maslahi ya watawala.....mbwa sana...

Polisi wanajua kuwa wananchi wamechoka na matukio haya ndio maana wanajifanya kuwapa taharifa wananchi
 
Back
Top Bottom