Polisi naomba tuheshimiane , la Sivyo................!

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
kamata Mwizi.jpg

Kwa hali tuliyofikia, kiasi kwamba kwa wiki moja ni lazima raia mmoja au zaidi wauawe, sasa imefikia kipindi ambacho wananchi tumechoka. polisi naomba mjitazame upya tena. msidharau nguvu ya Umma.
 
Polis wenyewe hawana myumba,wanaishi uraiani kama sisi,tukiamua tunawamaliza mmoja baada ya mwingine,na kama hali hii itaendelea,ndivyo itakavyokuwa.
Nyie jidaini tu eti mnatii maagizo.
 
polis wenyewe hawana myumba,wanaishi uraiani kama sisi,tukiamua tunawamaliza mmoja baada ya mwingine,na kama hali hii itaendelea,ndivyo itakavyokuwa.
Nyie jidaini tu eti mnatii maagizo.
maagizo my foot! Wanaboaje sasa?? Kutwa kujipendekeza, hovyoooooo!
 
Hapa sio TAnzania si unaona Mjeda huyu
anachojaribu kuwakilisha mtoa mada ni kuhusianisha matukio yanayotokea nchini mwetu kwamba yatapelekea watu kuamua kukabiliana na wana usalama kama hivi siku hiyao itafika,ni juzi tu madale polisi alijeruhiwa na mshale.nasema tena ningekuwana na undugu na marehemu mwandishi ningemsaka yule polisi personel,iwe kichawi au hata hadharani walahi angenijua.
 
View attachment 63709

Kwa hali tuliyofikia, kiasi kwamba kwa wiki moja ni lazima raia mmoja au zaidi wauawe, sasa imefikia kipindi ambacho wananchi tumechoka. polisi naomba mjitazame upya tena. msidharau nguvu ya Umma.
duh!kweli watu waliozoea kuua wanaogopa kufa ujasiri wote kushney anakimbizwa kama panya,cha kufurahisha wanaomfurusha ni vijana na hata kwetu waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapo.
 
Ningependa kuona mwisho wa hili tukio,ila naona kama alishaanza kuoza,unaingia anga za watu bila hodi hiyo ndo zawadi yake
 
Back
Top Bottom