Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,244
Hizi adhabu huwa zinatolewa hata mitaani na Raia wanapokamata hata mwizi wa "kufuli" tu. Hakuna cha ajabu hapo.
Maneno yako juu ya yaliyofanywa na polisi,na signature yako vinajibu swali
"Hivi shetani ni dini gani?"