Polisi Mwanza wakamata wahalifu 12 waliojificha mapangoni

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.

Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.

Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.

“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa

Hao jamaa wakikuambia sasa hv ni mchana usikubali kama uko ndani toka nje ukathibitishe mwenyewe kama ni kweli...HAWAAMINIKI!!!.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.

Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.

Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.

“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa

Huko milimani mobna kawaida sana hiyo! Hapo hakuna cha ajabu!
 
Tanzania imekua kama Ukanda wa Gaza tu Raia hawana uhakika na Amani ya Nchi yao mkikutwa watu kuanzia wanne hata mkiwa ni vibarua mnatafuta ramani hao jamaa watawapa kesi yeyote ile ili mradi nafsi zao za roho ya ukatli zisuuzike tu..
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.

Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.

Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.

“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa

wapigeni chuma
 
Not an issue.

Ishu kubwa kwa sasa kwanini polisi walizuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe moja kwa moja mochwari.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.

Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025, ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya Ilemela.

Kamanda Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu Mkoani humo.

“Tumekuwa tukipokea taarifa kutoka kwa Wananchi kuhusu wahalifu wanaojificha katika mapango na maeneo ya milimani wakijiandaa kutekeleza matukio ya uhalifu, hasa kuelekea mwishoni mwa mwaka. Hii imetulazimu kuchukua hatua za haraka,” amesema Kamanda Mutafungwa

Je sio wale wahuni wa mapangoni aliokuwa akiwasema hpp
 
Hawa macomedian hawaishiwi na episode yani, hawachoki wala hawapoi, kama wakorea 😀 😀
 
HIyo ni sehemu ya kuimarisha ulinzi mkuu..wasipofanya hivyo mtaani itakua tabu
ku.manyo.ko toka lini polisi wakaimalisha ulinzi una mdanganya nani, pm fake bwana guys si amesema kuna kijana kapewa bil 5 za maandamano si ndiyo hao waimalisha ulinzi mbona hawajamkamata, polis wa tz wapo kwaajili ya kuilinda ccm na watawala hawapo kwaajili ya rai kbs mle kumejaa makada na mauvccm tupu mamaee wallah.
 
Back
Top Bottom