Polisi mwanamke kumpekua mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi mwanamke kumpekua mwanaume

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MPAMBANAJI.COM, Oct 24, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Katika hali isiyokua ya kawaida naambiwa hapa kituoni kuwa Polisi wa Jinsia ya KE anaruhusa ya kumpekua mwalifu mwanaume ila Polisi wa kiume hatakiwi kumpekuamwalifu mwanamke. je ni vigezo gani hasa vilitumika katika kuhalalisha hili?. Tambueni kuwa polisi wengine hawajaolewa na wanaweza kumpekua mhalifu katika hali ya faragha ambayo kwa bahati mbaya au nzuri ukute pia mtuhumiwa ni mkame wa muda mrefu.Sijui itakua aje hapa.WANASHERIA hapa vipi?. je hii ni sahihi au ni changamoto?
   
 2. b

  babojga Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha akupekue, akigusa mtambo shauri yake, stimu zikipanda mgeuze fasta umle!!!
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu hivi mwanamke akikupekua unajisikia vibaya au vizuri....what a good customer service!!!
   
 4. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dah! kumbe wakati mwingine raha kwenda jela.
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kwa mjibu wa sheria, ni sahihi. mwanamme akimpekuwa mwananmke, anaweza kushitakiwa kwa kosa la shambulio la aibu lakini mwanamke akimpekua, eti inakubalika.
  hivi mwanamke anapopekua, halafu mwanamme awe hajawahi kuguswa na mikono ya kike, halafu akadindisha/uume ukasimama JE SIYO SHAMBULIO LA AIBU kwa mwanamme? Mi naamini hapa waliobadilisha sheria ni hawa wanawake wanaharakati, ili walipize kisasi kwa wanaume.
  Na kibaya zaidi, polisi huwa hawana staha, akigundua umedindisha, yeye ataropoka jitu 'JITU LENYEWE LIKIGUSWA, LINADINDISHA"
   
Loading...