Polisi Mombo wamekithiri Kwa rushwa

Polisi Mombo wamekithiri Kwa rushwa

Gaza

Senior Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
102
Reaction score
8
Wiki hii kidogo police wa kituo cha Mombo wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga kidogo watoane roho,
Picha iko hivi, kuna polisi anaitwa Ernest (Mhutu) alipewa rushwa getini Askari Muhd akaona akataka mgao mgogoro ukaanzia hapo. Mambo yalivyozidi Mhutu akawasha gari lake kwenda kumgonga Muhd bahati nzuri gari likampapasa Muhd, kwa sasa Ernest yuko lock up ya polisi Mombo, Kamanda Mangu chukua hatua
.
 
achaaa wachukue tu na wazidi kuchukua rushwaaa....maana kna vigogo wana kula bilions of money hawaguswi sasa wa chini nao hawataki kupitwa na waooo.....
kama wanataka pambana na rushwa waanze juuuu
 
Back
Top Bottom