Thanks mkuu .... labda waelekeze hawa vichwa maji wasioelewa .... wanaleta mambo yao ya team sijui nn .... hzo team zao hatujawai kusikia wamefungana kwa idadi gani ya mabaoShida ni kuhatarisha maisha sio kutosheherekea,ndicho anachokisema muhusika,mambo ya kibiti yamekujaje hapa?Kadhia za watu wa Kibiti usizitaje kwa dhihaka,huebda hata Kibiti hupajui,acha dhihaka wenzetu wanaishi kwa taharuki kupita digidigi,simamia kwenye content ya mada
Ukosefu wa ajira pia ni tatizoThanks mkuu .... labda waelekeze hawa vichwa maji wasioelewa .... wanaleta mambo yao ya team sijui nn .... hzo team zao hatujawai kusikia wamefungana kwa idadi gani ya mabao
Hawana majukumu hawa,mwenye majukumu hawez kujichetua hivi
hahahaha mkuu na wewe ulikuwepo kwenye msafara? au umejitolea kuwaombea samahaniPole sana kwa usumbufu uliojitokeza mkuu
nimejitolea tuhahahaha mkuu na wewe ulikuwepo kwenye msafara? au umejitolea kuwaombea samahani
kazi nzuri bila hiyananimejitolea tu
Ulitaka iweje!?
Hahaha ndio hivyokazi nzuri bila hiyana
Naw pia ni Bomu I suppose!Mkuu utapoteza muda bure, wengi hawatakuekewa kwa kuwa licha ya uwezo mdogo wa kupambanua mambo, pia hawatumii ubongo kuwaza bali moyo. Utapoteza muda bure na hakuna atakaetoa hoja zaidi ya povu, wachache ndo watakuelewa.