hahahahah safi sana timu KIBAHivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
Sina timu na nazipenda nyimbo zao lkn sheria za barabaran lazima ziheshimiwe, walikuwa wanapita katkat ya barabara kwa speed sana as if wanatumia barabara peke yao na hapo sijui kama walikuwa na kibali au hawakuwa na kibali,kama ingetokea ajali ingekuwa vphahahahah safi sana timu KIBA
So imekuuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
Zero kwenye maandishi = zero kwenye brainSo imekuuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kwanini wewe ukumpa ushauri,badala yake umetumia komenti yako kusuta wengine ???Mkuu utapoteza muda bure, wengi hawatakuekewa kwa kuwa licha ya uwezo mdogo wa kupambanua mambo, pia hawatumii ubongo kuwaza bali moyo. Utapoteza muda bure na hakuna atakaetoa hoja zaidi ya povu, wachache ndo watakuelewa.
Kweli hawawez kunielewa ushabiki wa timu zao wameuweka mbeleMkuu utapoteza muda bure, wengi hawatakuekewa kwa kuwa licha ya uwezo mdogo wa kupambanua mambo, pia hawatumii ubongo kuwaza bali moyo. Utapoteza muda bure na hakuna atakaetoa hoja zaidi ya povu, wachache ndo watakuelewa.
Eeeh!!! Kwa mujibu wa taarifa za kiintelenjensia mkusanyiko wao hauwezi kusababisha uvunjifu wa amani[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaha mkusanyiko wao una kibali??