Polisi Mbeya wafunga Makanisa 6 ya Ufufuo na Uzima

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya.

Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa hayo Kufuatia tamko la serikali lililotolewa Juni 02, 2025 kupitia msajili wa jumuiya za kiraia nchini la kufunga makanisa ya Ufufuo na Uzima kutoendelea kutoa huduma katika matawi yake yote yaliyopo nchi nzima.

Sacp Kuzaga amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kufanya ufuatiliaji ili kubaini uwepo wa makanisa hayo na kuchukua hatua za kisheria.

#WasafiDigital
Sidhani kama itasaidia chochote. Kama hupendwi/hukubaliki; hata ufanye nini! Ukweli utabakia pale pale. Zaidi utazidi tu kuongeza chuki kiasi hata watu wakikuona kwenye luninga, watabadilisha channel.
 
Hivi katika tawala zote zilizopita wameshawa kufunga kanisa au msikiti?
Mwembechai mwaka 1998 na watu walipigwa mpaka kuuwawa.. ila nchi hii hakuna askofu wala mchungaji aliyepigwa kwa matamko yake.. lkn bado wanaona wanaonewa.. hivi mfano kama bro gwajizo foshizo ndo angekuwa shekhe ponda sjui ingekuwaje.. kwanza angekamatwa na mkong'oto angekula na kesi ya ugaidi juu.. ila eti gwajizo katoroka hajulikani aliko.. hii ni double standard.. huko kutoroka sjui kapaa juu
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya.

Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa hayo Kufuatia tamko la serikali lililotolewa Juni 02, 2025 kupitia msajili wa jumuiya za kiraia nchini la kufunga makanisa ya Ufufuo na Uzima kutoendelea kutoa huduma katika matawi yake yote yaliyopo nchi nzima.

Sacp Kuzaga amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kufanya ufuatiliaji ili kubaini uwepo wa makanisa hayo na kuchukua hatua za kisheria.

#WasafiDigital
Hili jambo sio sawa. Mnachochea udini. Sijajua kwanini viongozi wanakosa busara? Unapowanyima watu kufanya ibada unamaanisha nini? Hivi mnamjua Mungu wa Wakristo ninyi? CCM mmevimbiwa madaraka shauri yenu!
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya.

Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa hayo Kufuatia tamko la serikali lililotolewa Juni 02, 2025 kupitia msajili wa jumuiya za kiraia nchini la kufunga makanisa ya Ufufuo na Uzima kutoendelea kutoa huduma katika matawi yake yote yaliyopo nchi nzima.

Sacp Kuzaga amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kufanya ufuatiliaji ili kubaini uwepo wa makanisa hayo na kuchukua hatua za kisheria.

#WasafiDigital
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
Mwembechai mwaka 1998 na watu walipigwa mpaka kuuwawa.. ila nchi hii hakuna askofu wala mchungaji aliyepigwa kwa matamko yake.. lkn bado wanaona wanaonewa.. hivi mfano kama bro gwajizo foshizo ndo angekuwa shekhe ponda sjui ingekuwaje.. kwanza angekamatwa na mkong'oto angekula na kesi ya ugaidi juu.. ila eti gwajizo katoroka hajulikani aliko.. hii ni double standard.. huko kutoroka sjui kapaa juu
Si umesikia anaitwa jasusi la mbinguni?
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya.

Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa hayo Kufuatia tamko la serikali lililotolewa Juni 02, 2025 kupitia msajili wa jumuiya za kiraia nchini la kufunga makanisa ya Ufufuo na Uzima kutoendelea kutoa huduma katika matawi yake yote yaliyopo nchi nzima.

Sacp Kuzaga amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kufanya ufuatiliaji ili kubaini uwepo wa makanisa hayo na kuchukua hatua za kisheria.

#WasafiDigital
Aisee
 
Sisi watanganyika ni zaid maiti...wacha wajanja waendelee kutunyoosha
 
Huyu mzanzibar hadi atumalze wote watanganyika sie
Huyu Mzanzibar ana teletext ubaguzi wa kwao uko Zanzibar, kule Zanzibar wanaushi kwa kubaguana sana, Utakuta Kijana Wazazi wake ni Wanachama wa Cuf au ACT sasa huyo kijana akiomba Ajira Za Serikali ana nyimwa kwasababu Wazazi wake siyo CCM. Kule kwenye ajira waombaji wana fatiliwa kiundani kujua wazazi wao Wapo Chama gani, Vijana ambao wazazi wao ni CCM ndiyo wanapata ajira za SMZ na Za Muungano kama Uhamiaji, Polisi, Jwtz na Usalama.
 
Back
Top Bottom