POLISI kweli mnamjua ADUI YENU?

POLISI kweli mnamjua ADUI YENU?

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
babylon.jpg

BANGALOOO OYSTERBAY.jpg

OYST.jpg

OYSTER8.jpg

polisi Rombo.jpg

rombo2.jpg

blogger-image-330844102.jpg


tafakari...chukua hatua....
 
bado hujaweka ya mabatini mwanza...uwii
ila police wengi ni division four
hawajitambui kabisa kama adui wao ni ccm
 
na hapa ni ofisini...unategemea ''frustration'' atazitolea kwa nani...
[h=3]KITUO CHA POLISI MASWA[/h]
polisi%2Bjengo.JPG
 
bado hujaweka ya mabatini mwanza...uwii
ila police wengi ni division four
hawajitambui kabisa kama adui wao ni ccm

Mkuu kama unazo tupia Lengo ni kujua adui halisi wa POLISI
 
kituo cha polisi.jpg

kituo cha polisi2.JPG

kituo cha polisi3.jpg
Vituo vya Polisi

Ujenzi-wa-Makazi-ya-Wanajeshi.jpg

Nyumba mpya za jeshi letu

nyuma wa makamu wa rais ni nyumba mpya za polisi Kilwa road.JPG
Nyuma ya makamu wa rais ni nyumba mpya za askari polisi maeneo ya KILWA ROAD.
 
Acha uchochezi
Mkuu mbona unakuwa na mawazo finyu!
Nani asiyejua kuwa vijana wengi wa polisi wanaishi maisha duni.
Maadali yameporomoka maana viongozi wao wengi wako mifukoni mwa watu fulani fulani wapiga dili.
Wanaamriwa kutoa ulinzi hata sehemu za uhalifu!
Ukipata kijana polisi mwenye wito huwa wanalalamikia hali hii bila kupata ufumbuzi.

Zaidi ya hapo ajira ni za upendeleo, na kama ukukumbuka sakata la mke mmoja wa kigogo jeshini polisi aliyekuwa akiuza nafasi za kujiunga polisi, kesi imeishia hewani!

Wale vijana ambao wameamua liwalo na liwe ndio wanapiga dili, kubambika kesi, kushiriki hata ujambazi.
Hayo tunayaona kila siku mitaani.

Sasa wewe ukisema huo ni uchochezi hatukuelewi elewi.
Serikali ijitahidi kuboresha hali hiyo ili hayo madudu yatokomee kusikojulikana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom