lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,745
- 3,456
Tuelekeze kidogo mkuuLoss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Google loss report then fungua website inayo fanana na hiyo kwenye picha.Naona kuna wengine wanasema iko online hebu tuelekezane wakuu..jinsi ya kuipata.
Ingia google andika Lormis inakupeleka moja kwamoja kwenye loss report, utajaza majina yako kama una namba ya nida ndiyo nzuri zaidi na kile ulicho poteza ukijaza vizuri huna haja ya kwenda polisi tena uta print na kupeleka sehemu husika.Loss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Polisi lazima uende ili waithibitishe na wakuruhusu ku print.Ingia google andika Lormis inakupeleka moja kwamoja kwenye loss report, utajaza majina yako kama una namba ya nida ndiyo nzuri zaidi na kile ulicho poteza ukijaza vizuri huna haja ya kwenda polisi tena uta print na kupeleka sehemu husika.
Duh asante mkuu siku nyingine siendi kupoteza muda.Google loss report then fungua website inayo fanana na hiyo kwenye picha.
Kisha fuata maelezo ya kujibuView attachment 1717252
Ukitumia NIDA unalipia tu then unaprint bila kukanyaga kituoni.Polisi lazima uende ili waithibitishe na wakuruhusu ku print.
Ila unaanza kufanya online.
Kwa simu kwanza lazima uwe na barua ya mtandao wa simu ya kuthibitisha wewe ni mteja wao.Ukitumia NIDA unalipia tu then unaprint bila kukanyaga kituoni.
Kama huna NIDA. ndio unapitia huko wathibitishe
Wewe ndiyo unamatatizo. Siku hizi loss report inapatikana online na huna sababu ya kwenda kuomba wakupe loss report.Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.
Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.
RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.
Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.
Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Kuna Sehemu unakosea mimi nimefanya hilo zoezi. Mara kadhaa bila. Kukanyaga kituoni.Kwa simu kwanza lazima uwe na barua ya mtandao wa simu ya kuthibitisha wewe ni mteja wao.
Unaenda na hiyo barua na control number kituoni, Askri ndo ana approve wewe kuprint.
Hivyo ndiyo nimefanya na kusaidia wengine zaidi ya 10.
Bila hivyo request itabaki pending
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu...iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2...basi nikajitahidi kwenye SAA saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line...kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani ,...nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini,kesho yake nayo nikajikongoja SAA NNE asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka SAA saba...RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia Nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena... Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo?au watenda kazi ni wachache..au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same ...Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Mambo yamerahisishwa sana. Unaweza pata taarifa ya mali iliyopotea kwa kujihudumia mwenyewe. Fanya hivi:-Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.
Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.
RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.
Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.
Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Hivi huwa kina kitengo cha loss report, au kitu hiki huwa kinafanywa na polisi yoyote anayehusika kama ilivyo katika kukamata wahalifu?Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.
Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.
RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.
Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.
Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Una ushahidi juu ya hilo la mwisho?Huko Polisi mambo mengi wanaanzisha siyo kwasababu ya kusaidia wananchi ila ni kutengeneza ulaji kwa polisi, jiulize kwanini simu zinaibiwa kila siku hazikamatwi na kitengo cha cybercrime kipo? Wanafanya kazi gani?
Kule Morogoro askari mmoja alianza kumtaka binti kimapenzi baada ya kumwomba amsaidie kutrack simu yake, binti alivyoona yamekuwa hayo aka surrender simu
Kuna mtu alisema simu zinazoibiwa askari wanazifuatilia wanazichukua wao
sio kweli haipiti ni mpaka uende polisi baada ya kulipia ile control number kule ukimaliza ndio utaweza kuiona online na kuidownload ..Loss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Ingia google andika Lormis inakupeleka moja kwamoja kwenye loss report, utajaza majina yako kama una namba ya nida ndiyo nzuri zaidi na kile ulicho poteza ukijaza vizuri huna haja ya kwenda polisi tena uta print na kupeleka sehemu husika.