Nimejulishwa leo mji wa Bukoba umezungukwa na magari ya polisi kuwatisha bodaboda juu ya madai ya kila pikipiki kukamatwa na kulipishwa elfu sitini bila maelezo hata kama haina makosa.Inasemekana leo walitaka kugoma na pengine kuandamana.Dawa sio vitisho wapeni maelezo hizo elfu sitini kwa kila pikipiki zinakwenda wapi.Ni matumizi mabaya ya rasilimali magari ya polisi kusambazwa mitaani pamoja na gari la maji washa kwa sababu ndogo inayohitaji maelezo kutoka kwa viongozi wa Polisi