POLISI HIVI MLIFUNDISHWA KUPIGA TU CHUONI

POLISI HIVI MLIFUNDISHWA KUPIGA TU CHUONI

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,044
Reaction score
104,561
Ndugu zangu polisi, hivi huko police training school, mnafundishwa kupiga virungu, mateke, risasi na kuua? Hakuna somo la kusimamia maandamano yawe ya amani? Hakuna somo la utaratibu wa ku-deal na mtu aliyaamsha mikono juu kujisalimisha? Naona leo hata wanafunzi mnamburuza, mwanafunzi kweli naye ni haramia? Jitafakari.
Mna tofauti gani na askali waliowaua /Mauaji ya watoto wadogo huko Afrika ya kusini!
 
Mwenyew imenikera saana. Hii ni zaidi ya mwl msigwa
 
Ukijichanganya lazima ugongwa kuna mkuu wa Chuo cha polisi matanga mbushi pale siyo mchezo watu wanajazwa nyembe halafu utombe kazi weeeh kuna machumu ,mtigandi ,Gaddafi ,kilowoko, nk hao noumaaah
 
Ndugu zangu polisi, hivi huko police training school, mnafundishwa kupiga virungu, mateke, risasi na kuua? Hakuna somo la kusimamia maandamano yawe ya amani? Hakuna somo la utaratibu wa ku-deal na mtu aliyaamsha mikono juu kujisalimisha? Naona leo hata wanafunzi mnamburuza, mwanafunzi kweli naye ni haramia? Jitafakari.
Mna tofauti gani na askali waliowaua /Mauaji ya watoto wadogo huko Afrika ya kusini!
We ulitakaje, waachwe wafanye vurugu kutwa nzima, wagonjwa wasiende kutibiwa, watu wasitumie barabara, watu wasiende kwenye uzalishaji Mali kwa ajili ya mitoto mikorofi; No way!
 
Jinga sana!!

Wanachojua ni kupiga tu.

Ipo siku itafika mtu hata umpige vitu hatotulia, labda huondoe uhai wake.
 
We ukitaka kujua wamejifunza kupiga au la jaribu kufanya fujo
 
Back
Top Bottom