Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,819
- 2,942
Kumbuka ule uzi wangu nilompongeza Zitto kwa kuwakwepa yeye ndio alikuwa akisakwa.kwahiyo dereva akipeleka vibali vya gari na kuvilipia kama vinaitaji kulipiwa zzk hamnashida naye tena?

Na 'katerero'.ZZK haya madubuasha yanakudanganya yanataka kukufanya kama lema!! kaa mbali na yule jamaa wa mto ngono
Inashangaza sana kuona mijitu inafurahia nakuusifia uongozi wa awamu hii. Aliyeturoga wa Tz keshakufa.Kuna watu 7 wamekufa katika sandarusi,hakuna anayejali
Kuna kesi hazina majibu hadi leo , hakuna anayejali
Ujambazi umetamalaki hadi walinzi wanavamiwa na kuuwa. Hakuna anayejali
Hivi kweli Taifa hili halina kazi za kufanya kiasi cha kukimbizana na vibali vya gari.!
Kuna umasikini uliojaa miongoni mwa wananchi.
Kuna mambo ya maendeleo yanataka fikra
Leo hatuwezi kujenga std , Kenya wanamaliza.
Halafu kuna watu hawalali wakikimbizana na kadi za magari ambazo hazina maana yoyote
Hizi ndizo dalili za kufeli ! Yaani kama vile hakuna kazi za kufanya kabisa
Mambo ya aibu kila asubuhi, wakimaliza wanapitisha bakuli kuomba pesa za ujenzi wa miundo mbinu
Aibu sana hii nchi! Dah!
Hii taarifa mbona kichekesho?JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.
Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.
“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.
“Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.
Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.
“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.
“Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.
Chanzo: Mtanzania
Kama ni hivyo kwanini wameliachia gari? Si vema kuwaza kwa makalio.Mkuu jeshi la police ni Law enforcement agent. Kuna sheria imevunjwa hapo kama gari halina vibali halali. Ndio maana hao TRA wakienda kumkamata mtu anaesafirisha bidhaa za magendo wanaomba msaada wa jeshi la police. Sio kila jambo ni siasa.
Kwa hivyo ukitumia matusi ndio hoja yako inaeleweka vizuri au unasikika vizuri? Ukikua utaacha mambo ya kitoto. Au viroba ndio vinaongea?Kama ni hivyo kwanini wameliachia gari? Si vema kuwaza kwa makalio.
Hapo ndipo unaona tofauti ya wapiga midomo majukwaani wakitafuta wanaufyata. Nampigia Salute Mangi Meri Godbless Lema. haogopi kitu hakimbii.JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.
Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.
“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.
“Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.
Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.
“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.
“Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.
Chanzo: Mtanzania
..Kama ni hivyo, basi waendege Buzwagi kufwatilia Kodi ya Umma inalipwa ipasavyo!Polisi wanaisaidia TRA kuhakikisha kila kitu kipo sawa.
Bora wangekaa kimya mkuuSijaona cha maana kwani kutokuwa na vibari ni kosa la dereva kuendesha gari lisilo na vibali na kama wanahitaji vibali sasa ulazima wa zito kupeleka uko wapi? na kama ni ishu ya kujua kama gari limelipiwa hakuna haja ya kulazimisha kuletwa kwa vibali kwani wanaweza kucheki online?. Na kama halikuwa na vibali waliachia la nini? inabidi taarifa zinazotolewa ziendane na uhalisia.
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya magufuriMkuu,hii nchi mradi tu siku zinaenda!!
Tutayaona mengiPolice wanahusika na stika za nenda kwa usalama na bima
Hata kutunga uongo hamjui maana mlishakabidhiwa hati zote za gari na dereva.JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.
Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.
“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.
“Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.
Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.
“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.
“Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.
Chanzo: Mtanzania
Mkuu umeiweka vizuri tatizo jamaa hao wanadhani watz bado wajinga wajinga.... wanadhani hatuna uwezo wa kug'amua walitaka kufanya nn...Heee..!
Na hilo gari lenye shida ya vibali mmeshaliachia kumbe..!??
I doubt kama hilo gari lina shida yoyote ya vibali...
Mbona mmeliachia??
Si ndio kosa lilipo..?? Unaliachia vipi gari.
Shida inaweza kuwa mlikuwa mnamtafuta ZZK kutokana na hotuba yake kwenye huu mkutano.. Au ndio mlikuwa mnahakikisha ulinzi wake kama wa Lowassa kule Geita??
Jeshi hili liache kutumika jamani.
Mnajidhalilisha sana kwa kweli.