Polisi: Hatumsaki Zitto kwa uchochezi

Polisi: Hatumsaki Zitto kwa uchochezi

Polisi wanaisaidia TRA kuhakikisha kila kitu kipo sawa.
amna kitu hapo kama swala ni vibali wangetaka tu wapelekewe hvyo vibali tu basi hata huyo dereva angeweza peleka kama hio ndio issue....watakua wana yao mengine tu maan hii nchi cjui ina nn sasa hivi
 
Huwezi ukapata document zote za gari TRA bila kupitia polisi.Kitengo cha traffic vehicle inspection
Pumbavu kabisa,umewai kumiliki gari wewe,uliwai kusikia wapi mtu akitaka kununua gari polisi wanausika,iyo itakuwa bunduki,icho unachokiongelea ni baada ya gari kuanza kutumika,ni usalama wa gari,kuwa linakidhi utaratibu wa kutumika sio umiliki,iwapo mtu akanunua gari akaliweka gerage ao traffic vehicle inspection watakuja huko,kama watakuja ni kupekua kama wanaisi la wizi au la magumashi,hapa patakuwa na documents za TRA na wauzaji tu sio za polisi.
 
Nataka pia nijue Mara ya mwisho alinyoa saloon gani na je hiyo saloon ina leseni ya biashara
 
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.

Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.

“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.

Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.

Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.

“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.

Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.

Chanzo: Mtanzania
Kwenye RED tu unapata majibu ya episode hii......
 
Vibali si ni TRA anaweza kulipa pia bima au kuna kibali kinachotolewa polisi?zaidi ya kupiga fain kutokuwa na vibali.naomba nieleweshwe.
 
Ondoeni uzi huu yaan kiki ni gar sio lake..mara kakimbilia burundi sasa mbona mnatupigia kelele insu zenyew za matrafic zakumalizana nao faster tuu
Tumuulize Afande Sele kwanin ameamua kutoka act
 
amna kitu hapo kama swala ni vibali wangetaka tu wapelekewe hvyo vibali tu basi hata huyo dereva angeweza peleka kama hio ndio issue....watakua wana yao mengine tu maan hii nchi cjui ina nn sasa hivi

kinachoendelea ni kinyume na signature yako.
 
Hivi uhalali wa vibali vya gari si ni kazi ya TRA, wanalijua hilo!? Ukweli (na haki) huinua taifa.
Mkuu jeshi la police ni Law enforcement agent. Kuna sheria imevunjwa hapo kama gari halina vibali halali. Ndio maana hao TRA wakienda kumkamata mtu anaesafirisha bidhaa za magendo wanaomba msaada wa jeshi la police. Sio kila jambo ni siasa.
 
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.

Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.

“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.

“Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.

Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.

“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.

“Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.

Chanzo: Mtanzania

Hivi vibali vinasababisha asakwe?kumbe ni kosa kubwa kiasi hicho usipolipia vibali gari lako?kweli polisi imefikia wanakuwa Vila.za kiasi hiki,mungu tuepushe
 
Sahizi yuko zake chibtoke,amechill,

yaani zito ndo angeozea jela kabisa,bora kaliona mapema....

Itabidi akae huko mpaka 2020,maana akirudi tu,wanamloweka ndani
 
Badala ya kujenga viwanda mnasaka gari moja kwa defender 2
 
JF,JF, ....huyu aliyetoa hati ya kumkamata Zito akipitia humu,..... Kama anazo dhamira hai, anaweza kumwomba samahani.
 
Mara zote makosa ya magari anakamatwa dereva.
Na gari linashikiliwa hadi kieleweke.

Kwanini kwa ZZK iwe tofauti?
 
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limemtaka Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ajisalimilishe kwa kupeleka vibali kuondoa utata wa gari alilokuwa akilitumia katika kampeni za uchaguzi mdogo uliofanyika Januari 22, mwaka huu wilayani Kahama.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Elias Mwita, alisema kiongozi huyo anasakwa kutokana kuwapo taarifa za intelijensia zinazoeleza alikuwa akitumia gari hiyo ambayo haikuwa na vibali.

Mwita alisema jeshi hilo linamtaka Zitto apeleke taarifa kuhusu gari analomiliki aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo hakulitaja namba za usajili.

“Siku ya kufunga mkutano wa kampeni uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe wilayani Kahama, tulipata taarifa kwamba Kabwe anatumia gari ambalo si halali, halina vibali.

“Tukawa tumefikiria tumpate baada ya mkutano atupe maelezo kuhusu gari analolimiliki, lakini kabla hata hatujaonana naye, alitoweka,” alisema Mwita.

Alisema Jeshi la Polisi linamtaka kiongozi huyo wa ACT Wazalendo apeleke vibali vya gari hilo.

“Kwa hiyo sisi mpaka sasa Kabwe tunamtaka atuletee vibali vya gari hilo na ndiyo kitu ambacho sisi tunamuhitaji.

“Baada ya kuona gari hilo linachukua muda mrefu kwetu tulimkabidhi dereva wa gari hilo na kumtaka amtafute bosi wake atuletee vibali vya gari hilo,” alisema.

Chanzo: Mtanzania
Hili jeshi sasa hivi masuala ya meno ya tembo na ujambazi naona limeachana nayo , kwao wahalifu ni wanasiasa tu ! Kazi ipo !
 
Back
Top Bottom