samaki mmoja akioza wote wameoza,mbona huwa wanasomba watu hata kama huusiki
Kwanini mmoja tu walitakiwa wauwe kama watatu ili wote tuomboleze.....
kwani walio uwawa arusha ktk maandamano ni majambazi?
subiri siku polisi watakapo mmiminia ndugu yako risasi,ndio utawajuwa polisi ni nani,ama subiri siku watakapo kubambikia kesi ndio utawaeleza wao ni kinanani,hayajakukuta wewe,tuulize tukueleze mkuuu,polisi waone tu mitaani usije ingia ktk anga zao pale kituoni ama mahali popote pale utaeleza kilichomnyoa kanga manyoya,There is no justification of killing. I don't care who kills who, lakini tuache upuuzi wa kushabikia mambo. Hatuwezi kushangilia mauaji period.
lol ...Kwani kuwasaidia ni lazima...je taarifa za kiitejensia hazikufanya kazi....
Hivyo vitakuwa ni visasi (personal issues) tafadhali yasiiingizwe kisiasa, hamkawiii kusema CDM imeua!Kwanini mmoja tu walitakiwa wauwe kama watatu ili wote tuomboleze.....
When a system in equilibrium is subjected to a change,the system will also try to change so as to halt the effect of that changes until stability is re-attained.Tazama Iraq,Afghanistan etc
mhh watanzania tumefikia huku,pole yetu halafu majambazi yakituvamia tunataka msaada wa polis
vifo vingine vya kujitakia
vifo vingine vya kujitakia
si wanashilikiana mkuu kuna mtu hajui dili za polisi ni nini!?Ukivamiwa na jambazi polisi wanakuja badaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivyo vitakuwa ni visasi (personal issues) tafadhali yasiiingizwe kisiasa, hamkawiii kusema CDM imeua!
ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.Hivyo vitakuwa ni visasi (personal issues) tafadhali yasiiingizwe kisiasa, hamkawiii kusema CDM imeua!
Mkuu umeongea kweli mtupu, na si kuwa watu wanafurahia kuuwawa kwa polisi huyu but hasila za wananchi bado zipo juu ya ubabe wa watu hawa, wanatumia nguvu na mabavu mengi hata sehemu ambayo haistahili kufanyika hivyo.RIP. Ninalaani kwa nguvu zote mauji ya mtu asiye na hatia awe polisi, mtuhumiwa wa ujambazi, raia anayeandamana kwa amani. Kamwe watanzania tusianze kushabikia vifo vya raia wasio na hatia. Nina hakika kuwa polisi ni ndugu zetu, kama huna ndugu polisi basi utakuwa na jamaa au jirani mwenye ndugu polisi. Kamwe tuache mkondo wa sheria uchukue njia yake. Tusishabikie mauaji maana huwezi jua kuwa next target will be you, hizi chuki zinazoanza kujengeka miongoni hatuna budi kuziacha na kuwa wachamungu sana. Ila pia huu ni wakati wa vyombo vya usalama kuhakikisha tu haviwafurahishi watawala pekee bali pia wanajenga imani ya wananchi juu yao. Tumeona ya Egypt jinsi jeshi lilivyopata heshima kubwa toka kwa waandamani kisa tu hawakutumia vibaya nguvu za virafu vyao. KATIBA MPYA SULUHISHO LA KUJENGA AMANI YA KUDUMU TANZANIA.