Polisi apigwa risasi na kufa

Binafsi kwasasa hata kama polisi atajikwaa akaanguka akafa mimi nitapashukru pale alipo jikwaa
 
atakuwa amemuwawa kwa taarifa za kiitelinjinsia zilizopatikana punde kabla ya mauti kumkuta
 
siamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu
walivyo ua ndungu zetu na hawakutaka hata kutuomba msamaha sana sana walipongezana na kuanza kupotosha jamii wakati wahusia hata hawakuwa kwenye maandamano ...ulitaka ni walilie baada ya wao kupigwa risasi
 
Hala hala, kidole na macho jamani, naomba suala hili lisihusianishwe na siasa za arusha.
 
Innalillah wainailaih rajiuun, INAHUZUNISHA NA KUSIKITISHA.
yakumbuke ya tarehe 5 jan 2011...walivyo kuwa wanahamasishana kurusha risasi kwa watanzania wenzao....
 
sijui man kwasababu mie naona kuwalaumu polisi wote si vyema wapo wachache ndio ambao wanakosa maadili man!!sema kwasababu watu bado mna hasira na mauaji ya Arusha ndio maana mnasema hivyo ila kwakweli amani ya Tanzania inapotezwa na jeshi la polisi sababu hawaheshimu haki za raia kweli inatia uchungu sana wamekua wababe sana kwa raia na ndio maana watu wanafurahi kweli kuna haja kubwa kwa serikali kulitazama hilo wasichukulie simple kuna siku tyatahamia kwa viongozi!
 
Nadhani tusifurahie. Huwezi jua msimamo wa askari huyu kama mtu binafsi katika yale mauaji ya waandamanaji. Askari wengine walikuwa very against...
 
samaki mmoja akioza wote wameoza,mbona huwa wanasomba watu hata kama huusiki
 
There is no justification of killing. I don't care who kills who, lakini tuache upuuzi wa kushabikia mambo. Hatuwezi kushangilia mauaji period.
 
Ukivamiwa na jambazi polisi wanakuja badaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Napita njia tu........nikipata la kusema pengine nitarudi
 
When a system in equilibrium is subjected to a change,the system will also try to change so as to halt the effect of that changes until stability is re-attained.Tazama Iraq,Afghanistan etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…